Hivi wanaume nao wana mzunguko?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Maana nakuwaga na kama wiki mbli ivi libido inakuwa juu ajabu, then kama wiki moja ivi sina hamu na dem. Hivi ni kwangu tu au hata wengine? ARRRRRGH....

Alaf zile siku sina ham ndo 'opportunity' zinakuwapo kibao....
 
ASTAGHAFRULAH!!!!!!
Mswalie mtume!!!!!!!!
 
Siku hizo ambazo huana hamu unakuwa na msongo wa mawazo kwa kuwa muda huo chapaa; na kama unavyofahamu bila chapa mambo hayaendi.
 
Na mimi nina kikombe kama cha babu,nimeoteshwa na malaika, nitafute kwa pm tafadhali ili hali hiyo ikutoke, then uwe 24/7.
 
Unamaanisha kuna kipindi sperm hazitoki au hata zikitoka haziwezi kuzalisha! NO way my friend. Au wewe takuwa very special kama kuna kipindi sperm zako ndio zinashuka tayari kwa kuzalisha kama linavyoshuka yai kwa kina dada.
 
Maana nakuwaga na kama wiki mbli ivi libido inakuwa juu ajabu, then kama wiki moja ivi sina hamu na dem. Hivi ni kwangu tu au hata wengine? ARRRRRGH....

Alaf zile siku sina ham ndo 'opportunity' zinakuwapo kibao....

Tuko, Nenda Kapate kikombe!
 
kwa kweli kila mwanaume nahisi huwa inamtokea
hiyo hali ya kuwa huna shida sana na wanawake na wao wakawa wanakujia kwa nguvu....

i mean unapokuwa single ni ngumu kupata mwanamke....
but ukishapata mmoja,wengine wanakuwa easy

mimi nliwahi pata tatizo lilonifanya nisiweze ku sex kwa wiki nzima...
ndani ya hiyo wiki nzima,zaidi ya wanawake 6 walikuwa
wananitafuta kwa nguvu..,wengine ni ex gfs,wengine wapya kabisa...

tatizo lilipoisha,sikuwaona.as if walikuwa wanajua,but walikuwa hawajui...its funny...
 
wajipa matumaini kuwa walikuwa hawajui:lol::lol::lol:
 
wajipa matumaini kuwa walikuwa hawajui:lol::lol::lol:

ha ha ha.basi walikuwa wachawi hivi..
maana tatizo lenyewe ni lile la mke wa mpemba.unakumbuka thread ya wapemba????

but seriously,nafikiri kuna kitu kuhusu wanawake wanavyoweza ku react na body language
ya mwanaume.....
 
hahaahahahahahahahah aaaaa mpemba,wanawakeeee.....sitaki kusema mengi ila ni zaidi ya unavyowafahamu.
 
Chakula kaka muone dk,misosi tunayokula inaweza kukufanya uwe na nguvu au ukose.
 
Hahaha shosti njoo nikufundishe mie ni period month hahaha:lol::lol::lol::lol: ingilish ya siku hizi sio mp!

yaani ngoja nifunge kanga ya kifua nije fasta maana inaonekana napitwa na mambo:lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…