Hivi wanaume warefu weusi tuna kitu gani special?

Hivi wanaume warefu weusi tuna kitu gani special?

soldier MAN

Member
Joined
May 13, 2024
Posts
51
Reaction score
100
Wadau JF,

Nataka leo tuambizane ukweli kwanini sisi wanaume warefu dark tunawapagawisha sana watoto wa kike.

Kwa mfano mimi wanawake walikuwa wanapigana kwa ajili yangu toka O level, A level hadi chuo kisa tu wanapenda muonekano wangu.

Yaani kila demu ninayemtaka na mpata.
 
IMG_20240608_232909.JPG
MLETA MADA AKIWA CHUO.
 
Ukikua utaacha

Kwa niaba ya wafupi wote wenye vitambi nimewawakilisha
 
Chuo ulifanikiwa kupata kilichokupeleka ewe bwana TOLU??🤔🤔
 
Back
Top Bottom