Hivi wanaume wengi wanapenda namba 8 au 6?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,052
Reaction score
257
Ni swali dogo tu wazee. Mimi napenda 6 japo nimeona mara nyingi 8 ndiyo inayongelewa sana.
 
Zero je? naona hii inahusu wanaume tu kama wanawake tumo mie napenda namba 9
 
Zero je? naona hii inahusu wanaume tu kama wanawake tumo mie napenda namba 9

Mmhhh 9!!! Nadhani utakuwa ni wewe pekee yako unayeipenda kwa hapa bongo. Labda unaweza kupata wafuasi huko ulaya.
 
Mmhhh 9!!! Nadhani utakuwa ni wewe pekee yako unayeipenda kwa hapa bongo. Labda unaweza kupata wafuasi huko ulaya.[/QUOT
Wewe mwanamme anatakiwa awe namba Tisa yaani mambo ya shoulder zilizokwenda shule chini mdogo kiasi
 
lazima totoz iwe na hips flan na kimnofu kimtindo bana...
 
Kila mtu ana chaguo lake wengine hawapendi namba sijui tisa wanapenda tabia na hulka ya mtu mwenyewe.
Hahahahahahahaa wewe namba moja nini ndugu yangu, kweli kabisa unalosema mara nyingi tuvipendavyo sivyo tuvipatavyo
 
Je hizo no tuzipendazo zimebeba na tabia tuzihitajizo!?
 
Me siangaliii namba bana,naangalia utendaji wa kazi tu,hizo kaeni nazo wenyewe.
 
Mwanaume Plasma bwana flat screen wa ki hivyo ndio fresh kabisa
 
napenda tabia,heshima, ushirikiano,anayenikosoa pale ninapokosea,anaelewa nataka nini,anamawazo ya maisha ya mbeleni si ya kipindi cha ujana
tu.... Na kadhalika, Maumbo yanapotea pale atakapojifungua,kazi ngumu,mawazo meng n.k hizo ni tamaa za mwanzo tu ambazo zinaishia ukingoni na kuvuruga ndoa na maisha kwa ujumla.
 
Kila mtu ana chaguo lake wengine hawapendi namba sijui tisa wanapenda tabia na hulka ya mtu mwenyewe.

Wengine hawapendi tabia, hulka, sijui number 1,6,8,9 etc, wanapenda Mkia umejazia, bata analiwa
 
Kama mkeo hana shape 6 au 8 utafanyaje? Utapenda hizo ili uwe unatoka Nje? Why do not you get used with what you have? Ukiuliza kuwa wanawake wengi tu wameolewa na wanaume ambao huko nyuma hawakuwa wanawapenda, lakini leo hii, they call them dearest husbands! Get used to it, otherwise...... wako wengi na hutawamaliza!!
 
Tofautisheni kati ya Kutamani na Kupenda jamani.......Kutamani=hulka,Mkia umejazia,sijui number 1,6,8,9 etc
NB:Kupenda=tabia,heshima, ushirikiano,anayekosoa pale mmoja anapokosea,anaelewesha nini anataka,anamawazo ya maisha ya mbeleni si ya kipindi cha ujana tu.... Na kadhalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…