Hivi wanaume wengi wanapenda namba 8 au 6?

Binafsi naelewa mapenzi hayana namba. Unadhani mapenzi ni mpira...?. Ninaamini upendo hauchagui nyumba yakuingia.
Kuhusu tabia katika dunia ya leo ukishavutiwa mnafanya agano la makubaliano na conditioning mambo yanakuwa safi kumpata unayemtaka wakati wazazi wao tu nyoka. Ni maelewano mkipendana kiukweli lazima mtaheshimiana na kuwa waaminifu. Amani iwe nanyi.
 
..beauty is on the eye of the beholder..
 
Mambo ya namba sio, mi namba kumi jamani. S4ijui niko kwenye kundi gani, la wanaofaa au wasiofaa.
 
hayo ni mawazo ya ujana tu, sidhani kama utakayemwoa atakuwa namba 0 au 7, au akizaa ikipotea hiyo namba 8 utamwacha mke wako kwa sababu amekuwa namba 9

...Ongea taratibu watu watashindwa kuoa! Wanawake wengi wakishazaa hasa wale waliokuwa wanajirusha sana huwa wanachoka mbaya. Wanarendemka tumbo linalegea kila kitu useless poleni mnaotaka masuperstar
 
bora nipite zangu,mada siielewielewi kabsaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…