Hivi wanaume wengine mnawezaje hivi vitu Mimi binafsi siwezi na sitaweza kamwe

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Habari wanajamvi,bila kupoteza muda kwa kweli sijui nimeathiriwa na jamii yangu au la pamoja na kusoma kote huko binafsi siwezi kufanya mambo yafuatayo kwenye ndoa

1,Kupangiana zamu za kupika,kufua,kuosha vyombo na usafi wa ndani,yaani niwe na mke wa ndoa halafu tunapangiane na zamu za kupika haitatokea

2,Kupikiwa na house girl na mwanamke yupo amekaa hata kama mke yupo kazini ,namwambia house girl pika mle na watoto,nitamsubiria mke atoke kazini aje anipikie,kama anaumwa nitapika vizuri sana,lakini yupo sofani anasaapuka na facebuka Mimi ndo napika haitatokea

3, kila weekend natoka out na mwanamke hiyo haipo,labda kwenye matukio muhimu kama baadhi ya siku kuu na kama tuna watoto tunaenda wote na kama bado lala ndani

4,kupigwa Kofi na mwanamke,yaani anigombeze atakavyo ila epuka mambo mawili ,Kofi au tusi,yakitokea hayo ujue hapo hakuna ndoa,na unaweza ukala kipigo cha mbwa koko

5,kusalimiana asubuhi,si tunalala kitanda kimoja,hata kama game ilichezwa SAA 11 tukishamaliza lazima mwanamke anisalimie tena ashuke kitandani apige magoti anisalimie ndo aondoke kwenda kwenye shughuli zingine

6, kuamka asubuhi sana ni jukumu la mwanamke aniandalie chai na maji ya kuoga sio niamke nimuache amelala niandae chai,hapo binafsi siwezi

7,kama tuna watoto wakubwa wanaokaribia balehe au waliobalehe,hapa kama mwanaume utakuwa strong watoto watakuwa na tabia nzuri na kama hautakuwa strong ujue mke wako atachangia watoto wako kuharibika,hii ndo stage baba wa mji unatakiwa uonyeshe ubabe wako bila ubabe,ndo machangudoa na watumia madawa ya kulevya yataanzia hapa,mkeo anatakiwa awe anakupa taarifa za ndani za mtoto wako wa kike na wa kiume na baba unatakiwa umwambie mwanao wa kike na kiume live mambo duniani bila kumumunya maneno na mstakabali wa maisha yao na wa Mali zako,kuwa mali zangu unazoziona ni zangu na mama yenu tu,kama utakaa siku moja ufikirie hizi mali umefeli,ni jukumu lako kupambana utafute Mali zako

Mapenzi mbashara na kubembelezana yanaishia kwenye uchumba

Ila sometimes ukiwa hivi ndoa yako itadumu lakini kama unataka yanayofanywa kwenye tamthilia ujue huna ndoa hapo,mwanaume acheze part yake na mwanamke acheze part yake kama mwanamke na mwanaume pia,Usomi wa mwanamke uishie getini,na uheshimiwa unaishia mlangoni

Nauliza hivi wale wanaofanya kinyume cha haya yaliyopo hapo juu mnayawezaje?
 
Nahisi wewe ni bachela ndio maana umeandika kinadharia sana.
Watu mlio kwenye ndoa hua mnakua na moyo wa jiwe na kushauriwa humu hamtaki[emoji23] mleta mada ameleta mada nzito .mkuu
 
Nahisi wewe ni bachela ndio maana umeandika kinadharia sana.
Mkuu hiyo sio nadharia, hayo ndio maisha nilionayo na bibi yenu, sisi wahenga hayo mambo ya Beijing wala hayana nafasi.
 
mkuu kama kweli upo kwenye ndoa trust me mkeo unachapiwa huko nje

ndoa kwake imekuwa gereza hana furaha yupo utumwani ila hana jinsi kaa ukijua kuna furaha anayoipata sehemu nyingine ndio maana anavumilia
Mkuu mfano hapo mateso yako wapi?
 
Mnaoolewa na wafalme mna kazi sana aiseee mnakuwa watumwa hiyo ya kupiga goti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kupangiana zamu na mme ya kupika au usafi akijisikia kukusaidia akussaidie
Mkeo atapata tabu sana
 
Siwez kumpigia magoti kwanza ataona nafake mana sina kawaida hiyo ila salam muhim na n lazima
Jitahidi basi uanze na magoti atafurahi sana siku hiyo
 
Habari wanajamvi,bila kupoteza muda kwa kweli sijui nimeathiriwa na jamii yangu au la pamoja na kusoma kote huko binafsi siwezi kufanya mambo yafuatayo kwenye ndoa

1,Kupangiana zamu za kupika,kufua,kuosha vyombo na usafi wa ndani,yaani niwe na mke wa ndoa halafu tunapangiane na zamu za kupika haitatokea

2,Kupikiwa na house girl na mwanamke yupo amekaa hata kama mke yupo kazini ,namwambia house girl pika mle na watoto,nitamsubiria mke atoke kazini aje anipikie,kama anaumwa nitapika vizuri sana,lakini yupo sofani anasaapuka na facebuka Mimi ndo napika haitatokea

3, kila weekend natoka out na mwanamke hiyo haipo,labda kwenye matukio muhimu kama baadhi ya siku kuu na kama tuna watoto tunaenda wote na kama bado lala ndani

4,kupigwa Kofi na mwanamke,yaani anigombeze atakavyo ila epuka mambo mawili ,Kofi au tusi,yakitokea hayo ujue hapo hakuna ndoa,na unaweza ukala kipigo cha mbwa koko

5,kusalimiana asubuhi,si tunalala kitanda kimoja,hata kama game ilichezwa SAA 11 tukishamaliza lazima mwanamke anisalimie tena ashuke kitandani apige magoti anisalimie ndo aondoke kwenda kwenye shughuli zingine

6, kuamka asubuhi sana ni jukumu la mwanamke aniandalie chai na maji ya kuoga sio niamke nimuache amelala niandae chai,hapo binafsi siwezi

7,kama tuna watoto wakubwa wanaokaribia balehe au waliobalehe,hapa kama mwanaume utakuwa strong watoto watakuwa na tabia nzuri na kama hautakuwa strong ujue mke wako atachangia watoto wako kuharibika,hii ndo stage baba wa mji unatakiwa uonyeshe ubabe wako bila ubabe,ndo machangudoa na watumia madawa ya kulevya yataanzia hapa,mkeo anatakiwa awe anakupa taarifa za ndani za mtoto wako wa kike na wa kiume na baba unatakiwa umwambie mwanao wa kike na kiume live mambo duniani bila kumumunya maneno na mstakabali wa maisha yao na wa Mali zako,kuwa mali zangu unazoziona ni zangu na mama yenu tu,kama utakaa siku moja ufikirie hizi mali umefeli,ni jukumu lako kupambana utafute Mali zako

Mapenzi mbashara na kubembelezana yanaishia kwenye uchumba

Ila sometimes ukiwa hivi ndoa yako itadumu lakini kama unataka yanayofanywa kwenye tamthilia ujue huna ndoa hapo,mwanaume acheze part yake na mwanamke acheze part yake kama mwanamke na mwanaume pia,Usomi wa mwanamke uishie getini,na uheshimiwa unaishia mlangoni

Nauliza hivi wale wanaofanya kinyume cha haya yaliyopo hapo juu mnayawezaje?
3 na 5 sikushauri ufanye hivyo
 
Duuh. Kazi ipo narudia tena kazi ipo hasa kwa Mwandani wa mleta uzi. Teh teh.

Maana atapata / anapata tabu sana.
Nipe mfano wa taabu atakayoipata hapo,coz Mimi naona ni wajibu wake
 
Back
Top Bottom