Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Sheria ya kumdai mtu,ni usiku wa manane mkuu nitamfata mda huoMkuu nenda kamdai ili ulale kwa amani.
Hawana tofauti na anae honga bukuHivi wanaume wenzangu mnaohonga nyumba Mpaka magari Nyoyo zenu zipoje? Maana mimi nimejaribu ELFU KUMI tu yaani hapa natetemeka mwili mzima jasho, halikauki yani nahisi kuzimia zimia😂😂
View attachment 3210458
Kila mtu afe na chakemkuu wewe ndio wale unampa mchumba tshirt kali na kofia mkiachana unaenda kuvidai
Kuona paja ni bure kabisa ila kukifunua kitumbua lazima ulipie tena ulipie zaidi na zaidi, ngoja nipite kimya kimya sichelewi kuharibuMwambie ulikuwa unatania tu, akurudishie!
Kwahiyo jamaa amelipia ya introduction bado ya main body eeh? 🤣🤣Kuona paja ni bure kabisa ila kukifunua kitumbua lazima ulipie tena ulipie zaidi na zaidi, ngoja nipite kimya kimya sichelewi kuharibu
pesa huna ila figo unazo muhonge moja..Sijapata tu pesa, nahonga kila kitu hadi figo
We mganga upo!... hongo na Sadaka ni asilimia fulani ya pato la mtu!
... USISEME HATUNA, SEMA SINA!
... kwa wingi tu! 😅We mganga upo!
Wewe unatetemeka kwa kumpa malaya 'mbongo movie' hiyo elfu 10 kwa sababu una akili timamu na unajitambua, wale wanaotoa mamilioni na kumpangia changu nyumba wanakuwa washalishwa mavi na mavuzi na hao machangu waitwao madada wa mjini au wabongo movie huku mitaani. Haiwezekani mwanamme mwenye akili timamu kumpangia ama hata kumnunulia changu nyumba pamojaj na gari wakati wazazi wake au hata mkewe hawana usafiri wa maana, haiingii kichwani. Machangu na wabongo movie wanaroga sana, hawafai hata kuwasalimia....waachwe tu watumiwe na CCM.Hivi wanaume wenzangu mnaohonga nyumba Mpaka magari Nyoyo zenu zipoje? Maana mimi nimejaribu ELFU KUMI tu yaani hapa natetemeka mwili mzima jasho, halikauki yani nahisi kuzimia zimia😂😂
View attachment 3210458