Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?
Mnafanya hivyo ili iweje sasa?
Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu?
Tena mbaya zaidi utakuta mkiwa mnatikisa hayo makalio mnakuja kushikwa shikwa na watoto wadogo sana na watoto zenu au wadogo zenu
Badilikeni bhana ,kuweni na staha kwa wale ambao ndio tabia yenu hiyo.
Duh unamaanisha na wewe huwa unainaama inama mkuu?Wengine hayo ndo mambo yetu
Wacheze kiheshimaHaf we jamaa acha mambo ya kizee zee ..sasa unataka watikise masikio au vidole gumba??..
Yani ni mambo tunapenda kuona kwa kina dada..Duh unamaanisha na wewe huwa unainaama inama mkuu?
Zamani nilidhani ww ni me kumbe ke daah
Hawa Kinamama makalio magumu hayatikisikiWacheze kiheshima
Waangalie wamama waliostarabika wakiwa wanacheza mziki na dress code yao mpaka unafurahi
Vuta picha una muona mama yako anakatika katika mbele za watu halafu kana bambiwa na katoto kadogo utajiskiaje?aliyekutuma uangalie ni nani ??
binafsi nikiona vile nafsi yangu tafrani hata kama nina safari nitaghairisha