Hivi wanawake huwa wanajihisije na wanaume wanahofu nini?

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,037
Reaction score
24,637
Wakati fulani tulikuwa tunajadiliana mambo mbali mbali, lilipokuja suala la mapenzi na jinsia, nikaibua swali ambalo lilibadili kabisa upepo mahali pale, nalo lilikuwa ni:
Hivi itakuwaje ikitokea tumeamka asubuhi halafu jinsia zetu zimebadilika, yaani wa kike wamekuwa wa kiume na wa kiume wamekuwa wa kike na hali zetu za ufahamu zibaki vile-vile yaani uwe na jinsia ya kike lakini utambuzi na zile feelings za kiume and vise versa?

Hapo hali ikabadilika, kwa upande wa wanaume walijikuta wanashindwa kuongea kitu, wengine wakasema naona hapo ni vitanzi tu, ndiyo vitafuata, wengine, wakasema haraka sana watajiunga na utawa, wengine wakasema watakuwa masela yaani no mtu kumgusa, wengine wakasema watakuwa hawaogi au hawajiweki smart ile wasiwe na mvuto, wachache wakasema itabidi tu watafute mabwana....

Upande wa wasichana waliipokea kwa furaha sana, na wakaanza majigambo as if kesho ndiyo hiyo hali itatokea, mamneno yalikuwa mimi ikishatokea hivyo naanza na fulani atanikoma, mwingine aaah, si unamuona kama huyu jinsi alivyo namfanya hivi na hivi, kwakweli katika topic hiyo wasichana ndiyo walisikika wakiongea na wanaume wakabaki kimya tu wakisonya na wengine wakitoweka mmoja mmoja, na wasichana walipoanza kunigeukia na mimi wakisema watakavyonifanya na mimi nikatokomea katia mazingira ya kutatanisha.
Ndiyo maana leo nimeona ni bora tushirikishanae katika kulijadili hili, nikitumia kipengele cha we sometimes have to think beyond our selves, or beyond what we are....
Karibuni
 
haina haja ya hiyo siku kutokea, maana mpaka sasa kuna ngono za jinsia moja. mke kwa mke pia mme kwa mme. kuwa na mboo haimaanishi wewe ni mwanaume,pia kwa wanawake hivyo hivyo. wanaume wengi wanauza tgo zao na wanawake wengi wanasagana nk. so, hiyo topic haikuwa na faida maana hamkuwa na cha kujifunza zaidi ya kuvuta muda chakula kiive.
 
Nadhani linapokuja suala kama hili ni ukweli usiofichika kuwa huwa tunategemea kujadiliana na those who are proud with their genders.....its well known kwamba tuna watu ambao wamezikana au kuziasi jinsia zao.
Sitashangaa kama bado utakuwa hujanisoma kwa sababu utakuwa umegoma kwa makusudi.
 
Interesting perspective aisee... Yaani hapa niliposoma this post as much as sikuona hio discussion inaonesha wazi kabisa kua kuna mambo guys do to ladies but they can not imagine wao wafanyiwe the exact thing, in that sense ina maana kwa most men kua na utu inabidi wawe wafafikiria na kujiweka katika nafasi ya huyo mwanamke ambae anamtendea.... Enways from my observation I can say this...

Nature zetu wanawake na wanaume zimetofautiana saana, na in most cases wanawake wapo at a great disadvantage... yaani Mungu mwenyewe aliumba hivo acha tu hizi culture ambazo zimesuka kua wanaume wawe favoured in most things than women. Biologia tu yenyewe.. Mfano mdogo Mwanaume aweza baka mwanamke.. But for a lady kubaka mwanaume kazi ipo au lasivo ahusishe kamba na viagras nje ya hapo kazi ipo... Hivo nafikiri furaha ya wanawake ilikua kubwa sababu in one way or another they felt like watalipiza yale ambayo wanahisi wanaonewa...
 
Mh....Nimejifunza kitu kikubwa sana hapa. Tunapoamua kwanza kuji-analize, kuji-compare kujikubali na ku speak out what we have observed, truly and with big mind hapo ndipo mwanzo wa ufahamu mpya unapoanzia.
Kwa hiyo hapa kutokana na kile kinachoweza kuonekana kama Male Cheuvenism mwanamke anahisi kutendwa na kutawaliwa na siyo kuwa wanajutia kuwa wanawake bali wanataka as you said kulipiza kisasi, kwa kutufanyia yaliyo tufanyayo because we are too much proud of what what we are....lol.
Naendelea kuitafakari post yako nahisi nakaribia kupata jibu fulani very soon.
 
Mie naona umenipata hasa... Mie ni mwanamke na so proud of being a woman, however given a chance niwe mwanaume.....lol.... You wouldn't want to know what i would love to try....
 
Duh....to try tena? it seems kuna mambo mengi sana mnatuwazia, nampa pole mapema utakae anza naye, ila ukiniona mimi usinisogelee kabisa koz nitakuwa tayari nina mikanda na dan kadhaa za karate so utakuwa unajitafutia maumivu tu....lol
 
hahahaha.... You know lakini kua utakua kwenye Biologia ambayo najua weaknesses zake eeeh?? Alafu bana you think i would use force?? C'mon, nitakua tayari na advantage of knowing what to do to melt you down kabla hata sijakugusa....lol
 
khaa sijui kwa nini nimechelewa kuiona hii thread! Yaani hapo ni kama unanisemea na mie.........leo kuna mtu atanikoma leo!!
 
Mmmh hili la kuwa mwanamke tena gumu! Tatizo, umesema ni maumbile tu yanabadilika ni utashi unabaki wa jinsia yako ya awali. If that is the case then, my guess would be 'wanaume' (now wakiwa bila 'mguu wao wa tatu') wengi will go for didlos (as a substitute) halafu ule 'mtandao' utakuwa umepata watumiaji wengi zaidi! (i.e. the new species of men would still go for the new species of women using artificial instruments and certainly through the 'other doors').
 
khaa sijui kwa nini nimechelewa kuiona hii thread! Yaani hapo ni kama unanisemea na mie.........leo kuna mtu atanikoma leo!!

Umeona dear eeeh?? lol... Uzuri wanawake wengi tutajua where to hit, hivo lazima mawazo yafanane....lol
 
Husny nitakuchapa!! lol.... Wee si ndo nilisikia hii mistari kwako.... ohooo.....
AshaDii, I like this, napenda nikimchapa dem anitukane kidogo, inanipa msisimko uso wa kawaida, How do you look like!? Ningejua kuPM, would have done, waoooh! ucheshi.
 
Mimi Kama mwanamke sitaki iwezekane kuwa mwanamme hata kwa dakika moja achilia mbali masaa!

Kuwa mwanamke hakujawahi kunizuilia kufanya chochote kile nilichotaka kufanya na wala sijawahi kufanyiwa kitu nikahisi kudhalilika kwa sababu ni mwanamke

Naamini nikiwa mwanamme nitafanya yale yale ninayofanya sasa tu
 
AshaDii, I like this, napenda nikimchapa dem anitukane kidogo, inanipa msisimko uso wa kawaida, How do you look like!? Ningejua kuPM, would have done, waoooh! ucheshi.

mmmh! Unejoune.... How do i look like?? sijui nini hasa wataka but briefly i can say like any lady ambae yupo 40+ would look like... Yule binti nilitaka nimchape because mie mlezi wake hivo kwa maneno mengine ni binti yangu, usiogope huna haja ya PM you can say what ever you want to say hapa..... And thanks for the acknowledgement dear....
 
Back
Top Bottom