Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Wakati fulani tulikuwa tunajadiliana mambo mbali mbali, lilipokuja suala la mapenzi na jinsia, nikaibua swali ambalo lilibadili kabisa upepo mahali pale, nalo lilikuwa ni:
Hivi itakuwaje ikitokea tumeamka asubuhi halafu jinsia zetu zimebadilika, yaani wa kike wamekuwa wa kiume na wa kiume wamekuwa wa kike na hali zetu za ufahamu zibaki vile-vile yaani uwe na jinsia ya kike lakini utambuzi na zile feelings za kiume and vise versa?
Hapo hali ikabadilika, kwa upande wa wanaume walijikuta wanashindwa kuongea kitu, wengine wakasema naona hapo ni vitanzi tu, ndiyo vitafuata, wengine, wakasema haraka sana watajiunga na utawa, wengine wakasema watakuwa masela yaani no mtu kumgusa, wengine wakasema watakuwa hawaogi au hawajiweki smart ile wasiwe na mvuto, wachache wakasema itabidi tu watafute mabwana....
Upande wa wasichana waliipokea kwa furaha sana, na wakaanza majigambo as if kesho ndiyo hiyo hali itatokea, mamneno yalikuwa mimi ikishatokea hivyo naanza na fulani atanikoma, mwingine aaah, si unamuona kama huyu jinsi alivyo namfanya hivi na hivi, kwakweli katika topic hiyo wasichana ndiyo walisikika wakiongea na wanaume wakabaki kimya tu wakisonya na wengine wakitoweka mmoja mmoja, na wasichana walipoanza kunigeukia na mimi wakisema watakavyonifanya na mimi nikatokomea katia mazingira ya kutatanisha.
Ndiyo maana leo nimeona ni bora tushirikishanae katika kulijadili hili, nikitumia kipengele cha we sometimes have to think beyond our selves, or beyond what we are....
Karibuni