Hivi wanawake huwa wanajihisije na wanaume wanahofu nini?

Aise itakuwa ni siku ya maombolezo kwa mwanaume kiukweli kabisa; kwani nafsi yake imeumbwa kutenda kama kiongozi sas ikiwa mawazo yake yanabaki kuwa kama kiongozi ; lakini matendo yanakuwa ya muongozwaji huoni kuwa hakuna hata kioja katika kutendewa amabacho mwanaume atakifurahia.................ita kuwa ni uchungu kwenda mbele.
 
Du sijui ingekuwaje bora km na ufahamu pia ungebadilika kuendana na jinsia hiyo mpya kidogo ingeleta maana,maana mtu una ufahamu wa kike matiti kila kitu jinsia tu ndio ya kiume wala hailet furaha yoyote hasa km ulikuwa umeolewa yan mme wako na ufahamu wake ndio kawa hivyo lol!mie kwa upnde wangu wala nisingeifurahia na nisingependa itokee kbs!inanikumbusha Lalola(tamthilia)ilimtesa sana sio nzuri!
 
...Kuwa mwanamke hakujawahi kunizuilia kufanya chochote kile nilichotaka kufanya na wala sijawahi kufanyiwa kitu nikahisi kudhalilika kwa sababu ni mwanamke...
Hii imetulia!
 
Kama kweli inatokea hivyo, i will be very smart in using the thing kwa ratiba like nobody's bussiness. after all hai depreciate why not give it to somebody ? Lakini mijitu mingine inafanya vibaya , nafikiria wakati mwingine tunavyowadandia lo ni ngumu kumeza
 
ntaanza kumbaka malaria sugu then yoyooo atafwata..
 
hahahaha.... You know lakini kua utakua kwenye Biologia ambayo najua weaknesses zake eeeh?? Alafu bana you think i would use force?? C'mon, nitakua tayari na advantage of knowing what to do to melt you down kabla hata sijakugusa....lol
You are crazy....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…