Hivi wanawake kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi ni sababu ya kufika killeleni mapema zaidi?

Hivi wanawake kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi ni sababu ya kufika killeleni mapema zaidi?

Kwa post kama hizi, kazi ya u - mod mimi siiwezi. Wengi wataishia kula ban
 
Kilele cha mlima gani tena?
 
aiseeeeee! kama ni hivyo mshakaji wangu mmoko atakuwa alifika kileleni within seconds, coz hubby alikuwa hukoooooooooooo! aseeeee :spy:
 
Nawewe una amini siku hizi yupo mwanamke wa kumsubiria mumewe arudi kutoka masomoni .....lets say for two years?
aiseeeeee! kama ni hivyo mshakaji wangu mmoko atakuwa alifika kileleni within seconds, coz hubby alikuwa hukoooooooooooo! aseeeee :spy:
 
mmh inategemea na kama mb.. inafang'sheni effective lazima atafika tu kitonga huyo mdada effecincy inahitajika kidogo
 
:yawn: napita nasubiri muda wa kufturu ufike....
 
Ngoja nipate ujanja hapa maana niko mbali na waifu mwaka sasa
 
:yawn: napita nasubiri muda wa kufturu ufike....

Dont leave me behind by the time futari is ready [MENTION]Born Town[/MENTION]
Manake kila siku vilele..kilele..kwani lazima kupanda mlima bwana!!
 
Back
Top Bottom