imekaa kimaslahi zaidi... binti anajua fika kwamba her world will never be the same again...
Rais Zuma, miaka 70, ametangazwa kuoa mke wa 4. Hii ni ndoa ya 6 kwa Zuma, mke mmoja alifariki kwa kujinyonga na mwingine walitengana, hivyo Zuma atakuwa na wake 4 baada ya kuongeza huyu wa sasa ambaye kwa umri ni mdogo au sawa na watoto wa Zuma.
Nawauliza enyi wanawake, hivi mna matatizo gani? Binti hujafika miaka 40 unaenda kuolewa na mzee ambaye anamaliza maisha yake kesho, ni akili gani?
Wanawake, mna matatizo gani? Ni kutafuta umaarufu? Mnatafuta maisha rahisi (ready made)?
mbona hii ni very simple....
its power......for god-sake
hata sio lazima iwahusu wanawake..
hata malkia Elizabeth akifiwa na mumewe....
ni wengi mno watakaojitokeza 'kurithi'
its all about power...
wa kumhurumia hapa ni Zuma na wakla sio hao wanawake
hao wanawake wanajua wanachokifanya........na wala sio cha ajabu
ni marudio tu.....
Why are you so sure... It may be Love...
Ukitaka kuyajua kweli utaishiwa kuchanganikiwa... sometimes it is good not to understand and Just leave us alone.