Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajipambaga pia?Wanawake hawajipambi tu ili waonekane wazuri bali waonekane wanapendwa na kuna watu wanaowagharimia kwa hiyo ukimpenda mwanaume ujichunguze Kama utaziweza gharama hizo ili kumwengua anayeghalimia
Mie mwanaume najipamba iweje?Wewe unajipambaga pia?
Mumeo anaweza asigundue mabadiliko,ila ukikutana na mie muhuni nakusifia dada umependeza leo...tabasamu kwa mbaaaliWanawake wanajipamba kwaajili yao (ulimwengu wa wanawake) ukitaka kuamini hilo nenda kwenye sherehe wanazokutana wao pekeyao, Mfano kitchen party. It has nothing to do with men... kwanza kuna muda wanaume hawanotice stuffs nyingi za wanawake, unaweza kubadilisha kitu katika muonekano wako na asiweze kufahamu.
Duuuh...utawezana na Dunia Dada... Utahangaika Sana kwenda nayo sawa.Najipamba ili kwenda sambamba na dunia inavyoenda.
Sitaki kuachwa nyuma.
Huyu kesha chuja, ana waonea donge vibinti vinavyo chipukia...early 19's, hana tofauti na mwanamke anayebeza ndoa, kisa kaachwa au hajaolewa.Ladies Naomba Majibu Tujue Mnapendeza Ili iweje View attachment 1580520
Kesho naomba niku salimu!!Napakaga lipstick.... Kuwa Nina vitiligo mdomoni
Ila kujipamba najipamba kwa.kuwa nataka kupendeza.