Unauhakika kama sijaolewa? Maana au sababu ya kutoa hiyo mifugo/pesa si kama inavyodhaniwa na mtoa madaBado hujaolewa...ukiolewa kwa utaratibu utaona
Kwa nn isiwe exchange ya vitu vingine kabisa vyenye mantiki na vyenye kulinda heshima ya mwanamke..........unadhani kwa nn wanawake huko vijijini wanalazimishwa kuolewa baada ya wazazi kupata promice ya NG'OMBE kutoka kwa muoaji??Unauhakika kama sijaolewa? Maana au sababu ya kutoa hiyo mifugo/pesa si kama inavyodhaniwa na mtoa mada
Mmh wewe.......hapa tatizo sio shukurani.....kushukuru ni muhimu lkn tatzo hyo shukurani inakuweka kwnye position gn ww kama mwanamke ndani ya akili ya Mme wako na kwnye jamii.....!!???Hizo ni tamaduni. Mzazi hapewi mbuzi kubadilishana na mimi bali ile ni shukrani anapewa na familia ya mwanaume.
Kitabu gani katika Biblia?Ni sheria za biblia tu ambazo hazibadiliki mkuu.....
Ww mama yako alichukuliwa kwa mahari ya namna gani??....ama alibakw......Kwa nn isiwe exchange ya vitu vingine kabisa vyenye mantiki na vyenye kulinda heshima ya mwanamke..........unadhani kwa nn wanawake huko vijijini wanalazimishwa kuolewa baada ya wazazi kupata promice ya NG'OMBE kutoka kwa muoaji??
Naona umepanic, tuliza akili umuelewe mwandishi. Hayo yote ni matokeo ya kubadilishanasasa mjinga hapo nani aliyetoa ng'ombe kununua Mali ya wengi au aliyenunuliwa? unatoa ng'ombe sawa, lakini kwanza unakuta hana bikira na marinda hayamo, pili akikuchoka anachepuka, tatu ukifa anarithi Mali zako zote, nne anaweza beba mimba ya mtu mwingine ukalea, tano ni wajibu wako kumlisha na kumvisha lakini mnakula wengi, sita anaweza kukuletea ugonjwa Wa moyo, saba waulize wamachame........
Usijione mjanja wewe ndiye unaeliwa hapo sio wao! Unavyo mwaga shaha.... kwa mwanamke maanake una mmwagia hadi utajiri wako! Usiwadharau wanawake, wanawake ni taifa kubwa, akiamua kukupoteza ni dakika tu.
Hivi Rushwa ilihalalishwa ikawa Takrima ee?Hizo ni tamaduni. Mzazi hapewi mbuzi kubadilishana na mimi bali ile ni shukrani anapewa na familia ya mwanaume.