grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Kumbe haina haja ya kutoa mahari mkuu?Hizo ni tamaduni. Mzazi hapewi mbuzi kubadilishana na mimi bali ile ni shukrani anapewa na familia ya mwanaume.
Ona sasa ulichokiandika hapo? Yani mzazi kakulea, kakusomesha, kukufanyia mambo yote kuhakikisha unakua salama, kakutana na changamoto za kutaka hata kutoa uhai wake.....mwisho wa siku mm nakuja na ng'ombe wa laki saba nakubeba ili uje kwangu uwe unanilelea watoto, unanipikia unanifulia na nakuwa nakulala evry day.......na hata huko kuchepuka na mim kwa kuonesha kuwa biashara nlofanya na wazazi wako ni cheap bs naamua kuchepuka sana tu na hata kuzaa watoto nje wakutosha...sasa mjinga hapo nani aliyetoa ng'ombe kununua Mali ya wengi au aliyenunuliwa? unatoa ng'ombe sawa, lakini kwanza unakuta hana bikira na marinda hayamo, pili akikuchoka anachepuka, tatu ukifa anarithi Mali zako zote, nne anaweza beba mimba ya mtu mwingine ukalea, tano ni wajibu wako kumlisha na kumvisha lakini mnakula wengi, sita anaweza kukuletea ugonjwa Wa moyo, saba waulize wamachame........
Usijione mjanja wewe ndiye unaeliwa hapo sio wao! Unavyo mwaga shaha.... kwa mwanamke maanake una mmwagia hadi utajiri wako! Usiwadharau wanawake, wanawake ni taifa kubwa, akiamua kukupoteza ni dakika tu.
Bikra muhimu sana tu ila watu wengi hawaelewi hilosasa mjinga hapo nani aliyetoa ng'ombe kununua Mali ya wengi au aliyenunuliwa? unatoa ng'ombe sawa, lakini kwanza unakuta hana bikira na marinda hayamo, pili akikuchoka anachepuka, tatu ukifa anarithi Mali zako zote, nne anaweza beba mimba ya mtu mwingine ukalea, tano ni wajibu wako kumlisha na kumvisha lakini mnakula wengi, sita anaweza kukuletea ugonjwa Wa moyo, saba waulize wamachame........
Usijione mjanja wewe ndiye unaeliwa hapo sio wao! Unavyo mwaga shaha.... kwa mwanamke maanake una mmwagia hadi utajiri wako! Usiwadharau wanawake, wanawake ni taifa kubwa, akiamua kukupoteza ni dakika tu.
Hujanijibu, ni kitabu kipi katika Biblia kimehalalisha mahari!?????Mf amri ya USIZINI......unaweza kuibadirisha wewe na ikawa ruksa.?? Huwezi
Lakn hili swala la Mali kwa mwanamke linaweza badirika
Alichukuliwa kwa Mali gani sifahamu....lkn hapa nimeileta kwa ujumla wake.....yani hata yeye anaweza kuwa victim wa hili tatzo.Ww mama yako alichukuliwa kwa mahari ya namna gani??....ama alibakw......
Ni utamaduni.....Alichukuliwa kwa Mali gani sifahamu....lkn hapa nimeileta kwa ujumla wake.....yani hata yeye anaweza kuwa victim wa hili tatzo.
Point yangu ni kwamba hii kitu inawa shusha sana thamani wanawake........ingekua amri yangu bs mabadiliko ya huu mfumo yangebasilishwa
Hapo ulimaanisha nin, pengine sikuelewa nduguNi sheria za biblia tu ambazo hazibadiliki mkuu.....
Ni baada ya ww kusema " ni taratibu zipo tangu enzi hizo" ni kakwambia " ni sheria za bible tu ambazo hazibadiliki. Nikimaanisha hili swala la Mali tunaweza kulibasilisha likawa na mantikiHapo ulimaanisha nin, pengine sikuelewa ndugu
Angalia vizur braza utakuwa umechanganya madesaNi baada ya ww kusema " ni taratibu zipo tangu enzi hizo" ni kakwambia " ni sheria za bible tu ambazo hazibadiliki. Nikimaanisha hili swala la Mali tunaweza kulibasilisha likawa na mantiki
Pamoja ndugu, usijaliHahahaaa kweli bhana....nimemix mareply nadhani