hapa hatuuziani sumu kama za wanaisiasa wa tanzania......umesema "wanaume......." ndio nakwambia kwa kauli yako umefanya reasearch? toa ushahidi wako haya ndio maneno ya saluni eti "wanaume vile wanawake vile"

Shem ndivyo walivyo hao, utaumiza kichwa bure!
Hapo Mwana ndo kitanda kimezaa haramu.
Kumbe kiumbe ni cha mpemba..
Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.
Naomba ufafanuzi (kutoka kwa wasomi wa Vitabu Vitakatifu):
Ni wakati gani mwanamume (aliyeoa) na mwanamke (aliyeolewa) anapotambulika kuwa AMEFANYA ZINAA?
Maana Nabii Isaya alipowaambia mayahudi pale kwenye sinagogi kuwa kama kuna mmoja wenu hajawahi kufanya zinaa basi na awe wa kwanza kumrushia jiwe yule aliyekamatwa akizinii!!!!
Alipogeuka - hamna mtu!!!!