Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

hivi vijanamke mnaviokotaga jalala gani mpaka mnatupa hadithi za kiajabuajabu hapa!
 
Dk masaburi embu tusaidie jibu kama uko on line
 
Hata wewe ni mdhaifu tena sana unawezaje kulala na Mwanamke uliyemwona mara moja?
kama mimi nina tamaa.sasa utaniepuka vipi.ukikutana na mtu kama mimi mwenye tamaa utafanyaje ili tusifanye wote ngono?.demu angekataa jamaa angembaka?mademu ndo chanzo.mia
 
Tafuteni wake muoe, usijidanganye kuwa ulikuwa na kinga, ni kinga ipi hiyo ambayo iko full proof? condom wamesha sema sio full proof.

Unafanya uasharati halafu unakuja jisifu? ama kweli hili ni Taifa la dhambi.


HAPANA ILI SI TAIFA LA DHAMBI.....jamaa ndiyo MDHAMBI.
 
kama mimi nina tamaa.sasa utaniepuka vipi.ukikutana na mtu kama mimi mwenye tamaa utafanyaje ili tusifanye wote ngono?.demu angekataa jamaa angembaka?mademu ndo chanzo.mia

DU I KALI
so wewe una tamaa ya ngono ila ukimtokea ademu na akakupa mambo basi yeye tena ndo anakua ajatulia?,malaya?
ths new 2me

samahan una umri gan kakangu?
 
kwa hiyo kusingekuwepo condom watu wangeacha uasherati?kuoa ni kujiongezea matatizo si unajua fujo zenu?kila siku mwanaume unaonekana mkosaji ndani ya nyumba kelele haziishi.mia

Mwanamme wa kweli anachukuwa mwanamke akaja jisifu hapa mbele za watu? huyo sisi humuita mwanjomwanjo! Na mwanamke wa maana atakunyanyulia mapaja kabla hujamuoa? huyo sisi humuita washawasha! wote nyinyi mko katika kundi la "high risk". Nawapa pole sana kwa mawazo yenu na matendo yenu.
 
Ama kweli yote ayatendayo binadam ni chukizo kwa Mungu! Mungu awarehemu nyote..! Kuna siku mtajibu tu!
 


umenena ndugu
sjui uyu mtoto...dzain 22-25
 
DU I KALI
so wewe una tamaa ya ngono ila ukimtokea ademu na akakupa mambo basi yeye tena ndo anakua ajatulia?,malaya?
ths new 2me
samahan una umri gan kakangu?
ndiyo.hii ni kali sana.wewe mgeni wa kufanya ngono.uliona wapi mambo ya ngono yanakuwa na umri?hujawahi kuona mashugamamy yanachukua vitoto vya primary?au viabu vinatembea na masister du wa miaka 17?.watu hatuko sawa ndo maana huyu anatenda dhambi yule anaokoka.mia
 
mimi nlishawashitukia.mwanamke mwingine anajifanya mgumu ukimpata unajua umepata kumbe ndo unajihukumu.ukipata story zake za nyuma lazma ulie.2takaa nanyi kwa akili.mia
 
Hata we hapo umeonesha udhaifu kutembea na dem uliyeonana siku hiyohiyo, naye ni binadam mwenye hisia kama zako! Au unabisha?
<br />
<br />
Kweli mkuu bora angekua kamweka ndani ya 18 alafu akamwacha ila kama ulichapa huenda nae huko anakuzarau mbaya
 
Mimi simo.

Washawasha

Today 11:25
#33

JF Senior Expert Member



Join Date : 7th August 2006
Location : jo'burg
Posts : 1,699
Rep Power : 29
 
mambo ya kawaida sana huku kwetu.mie demu akiniambia cjui mpaka akafikirie ndio anipe majibu namsahau fasta.mie napenda tumalizane hapo hapo na wako wengi wa namna hiyo mpaka ushindwe mwenyewe.inatakiwa uwe mchakaramu kufanikisha hili
 
nitake radhi bibie Faiza,kwani nyie watu wa wapi na hilo neno la WASHAWASHA mkalitafsiri hivyo?
 
Mkuu Matola kaa mbali kabisa,umeshapuliza mchanga wa pwani.lol
 
"NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao"
Ujumbe umefika mkuu..
 
<br />
<br />
Dah man nipasie na mimi mmoja mkuu nitafune leo hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…