Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

Oooo,,mfumo wa maisha unatufanya wanaume tumdharau mwanamke kwa kila namna,lakin maumbile na kiutamadun inaonesha kuwa mwanaume anamtumia zaidi mwanamke,na mwanamke yuko tayari kutumiwa kwa namna yeyote ile,,,,,,,,sasa kikaragosi unautumia huo mfumo kujisifu,lakini huwez jua ya mbeleni,wa kwanza kucheka ndo huwa wa mwisho kulia,nahisi UTOTO NDO WAKUSUMBUA NA IMANI DHAIFU

THIS IS JF, WHERE PEOPLE DARE TO SPEAK FREE. NO MATTER HOW THE CONTENT IS POOR, NO REASONING AT ALL. AND THEY CALL THEMSELVES GT!!!

Hata wewe ni mdhaifu tena sana unawezaje kulala na Mwanamke uliyemwona mara moja?

MLETA MADA ANAITWA 'KIKARAGOSI'. SI UNAKIFAHAM, HATA MBUZI ANA AFADHALI.

Tafuteni wake muoe, usijidanganye kuwa ulikuwa na kinga, ni kinga ipi hiyo ambayo iko full proof? condom wamesha sema sio full proof.

Unafanya uasharati halafu unakuja jisifu? ama kweli hili ni Taifa la dhambi.

TAIFA HALINA SHIDA, TATIZO NI KWAMBA NDANI YA TAIFA VINAISHI 'VIKARAGOSI'. CJUI WATU WATABADILIKA LINI WAONDOKANE NA UJINGA! ANY WAY LETS WAIT, THEY MAY CHANGE AND BECOME GOOD TO TEACH THE YOUNG ONES.

unaona sifa kwa uliyoyaelezea,umehisi umemkomoa huyo msichana ila na wewe umekomolewa hivyo hivyo,wewe kicheche pamoja na huyo msichana

Kuna baadhi ya wanawake wana akili siku tatu za wiki,
hahahaaaa....!!.duh!.kauli nyingine ni sawa na kujitoa muhanga.hapa wakina dena,lizzy,husninyo na sample zao zote watakuwa wamenuna na wanakutafutia tusi linalofaa la kukutukana wamekosa.mia

Nakushauri usijisifu wala kuwaona hao dada zetu kwa ubaya. wanahisia kaka. halafu nakushauri uache kama huwezi kujizuia oa tafadhali, Itakusaidia

unaona sifa kwa uliyoyaelezea,umehisi umemkomoa huyo msichana ila na wewe umekomolewa hivyo hivyo,wewe kicheche pamoja na huyo msichana

ngoma draw...well said, Thank you ki-sugar

hv wewe mzima kweli? Wewe mwenyewe kicheche umekutana na kicheche mwenzio ndo umemuandika hapa? Unajisifia kugonda demu humjui? Wakati waasherati 2 mmekutana, msiojali kesho yenu

nakubali hoja kwa 100%..... wote hao ni vicheche tena saa yoyote vinaweza kuripuka

We mwenyewe huna akili!
Unawezaje kulala na mwanamke siku ya kwanza tu mmeonana!

wewe jamaa unazalilisha wanawake....ungenyimwa mzigo ungeona anaringa..hata yeye anahisia.siku ingine ukipata mzigo wa faster usije kuadisia hapa au bado under sixteen....mimi namueshimu mwanamke anaejua haja yangu na kunitimiziausinihoshe nisikuhoshe

Naomba nikuulize na wewe swali hilohilo: Hivi na wewe una akili ya mapenzi kweli? Ulichoelezea hapo ni uzinzi wako na wa huyo mwanamke hakuna mapenzi hapo.

huu alikuwa ameoza si ajabu HIV ipo pale aneaendelea kugawa kwa wengine zaidi

wote hamtumii akili zenu ipasavyo huyo rafiki yako anasema demu wake anafichiana siri na wifi yake ina maana naye demu wake huwa anatoka nje ndio maana ya kufichiana siri

bora umejihami kua sio wote............pole yake huyo mwenye mke

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…