Beauty is in the eyes of the beholderHivi mwanamke anajisikiaje anapovaa wigi kushonea human hair na blah blah zingine kama hizo.. Je anamdanganya nn au anajidanganya mwenyewe?? Na wengine kwa kufuata mkumbo wanabandika nywele utafikiri sanamu yaani haziendani hata rangi ya mwili wake au uhalisia wa kibinaadamu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Preta alivaa hayo mawigi nikamsahau kabisa ...baadae anapiga cm eti nimemchunia..!
I care. If God had wanted do you to be Brazilian he could have sent you to the Amazon forest.we unakereka nini? Mzuie wa kwako asivae...sie wenzio tunanunua tu, sijui human hair..sijui Brazilian nini...as long as 'beibe' anapendeza, anakuwa comfortable na confident...who cares!