Hivi Wanya Moris ile ilikuwa sauti yake kweli au ni effects

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Hakuna Boys 2 Men bila Wanya,

Yule mwenye bass aliugua ajajitoa now wako watatu sio wanne tena.

Dizijui nyimbi zao mpya ila zile za zamani sauti ya Wanya moris inatafakarisha sana,ilikuwa sauti yake kweli au ni ujanja wa studio
 
Crew itabaki vilevile ila ladha ya music itapungua,Ni kama offset alivyojiondoa migos
 
Ile ni Sauti yake kabisa, na Mara nyingi huimba verse ya mwisho kupaza sauti, wanamuziki wachache sana wanaweza kufikia sauti ya aina hii, hii sauti utaipata kwa Mariah Carey, Whitney Houston etc , ukitaka kuamini tafuta clip zake youtube au insta akiwa studio akifanya mazoezi.

Na dedicate kwako Wimbo JUST HOLD ON, sikiliza upate burudani safi kabisa kutoka kwa Wazee wa kubembeleza Boyz II Men.
 
Kwa bongo ni Harmonize peke yake anayeweza imba kama Wanya Morris. Labda na Papii Kocha.
 
Back
Top Bottom