GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa yoyote anayekutana na Miziki ya Sebene na Rhumba (ya zamani na mipya) awe anatuwekea hapa ili Wadau Wengine tujue na tuifuatilie na hata tuwe nayo?
Kama kuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda na huwa Kinanifariji na kunifanya nijione sina Shida za Kimaisha wakati ninazo kuanzia Dar es Salaam hadi Kigoma ni Kusikiliza, Kuimba, Kutizama na Kucheza Nyimbo za Kikongo (Congo DR) tu.
Kwa mfano muda huu natizama Sebene Kali la Fally Ipupa ambapo mbele ya Video hii kuna Rhumba Kali sana la Wimbo mtamu wa Rhumba wa Associe natamani mno niweke hapa sema tu Bando langu halitoshi.
Kama kuna Mdau (Mpenzi wa Nyimbo za Congo DR hasa Misebene na Rhumba) hebu nenda YouTube kisha tafuta Tamasha la Fally Ipupa alilolifanya Mkoani Mwanza utaburudika mno hasa kuanzia dakika ya 34 na Sekunde 50 hadi dakika ya 58 na Sekunde 26.
Wakongo kwa Mziki tu Shikamooni.