Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
- Thread starter
-
- #581
Poleeeeeπππ
Tumefundishwa kushukuru kwa kila jambo,.ahsante.Poleeeee
ππππTumefundishwa kushukuru kwa kila jambo,.ahsante.
ππππ
Remmy ongala alikuwa babangu mdogo..π
Tufunde tuu mwaya,..maana sio kwa kunyata huku mweh!!!mimi.mwenyew leo nimetoka kufundwa nimechekaaaa...najiandaa niwafunde na nyieπ
Tufunde tuu mwaya,..maana sio kwa kunyata huku mweh!!!
Wapo wengi mkuu na mimi nimempata huyu hapa Jackline Bahath
Usisahau aseeeπππnaona dalili za kucheka kabla hujaandika...woiiiiππ naandika uzi..mwenye sikio na asikie nilikaa na mama wa kichaga..kanipa somo huku navunjika mbavu..niaandika nakutag
ππππͺπͺππUsisahau aseeeπππnaona dalili za kucheka kabla hujaandika...woiiii
.Wapo wengi mkuu na mimi nimempata huyu hapa Jackline Bahath
Urafiki huu udumu tuu, ahsante na wewe rafiki yangu Jack.
Asante rafiki,I appreciate you
Amen..be good alwaysUrafiki huu udumu tuu, ahsante na wewe rafiki yangu Jack
Huu Uzi full mafaida yaaniWapo wengi mkuu na mimi nimempata huyu hapa Jackline Bahath
Nausubiri niuone kwa hamu kama zoteππ naandika uzi..mwenye sikio na asikie nilikaa na mama wa kichaga..kanipa somo huku navunjika mbavu..niaandika nakutag
Wangapi wamekuja umewatimua.jaman nitaftie na mm jaman mbna nakuwa mpweke hv jaman kama mchawiπ
Urafiki udumu huu.
Asante rafiki,I appreciate you
Hapa mambo mazuri. Hongereni aiseeeAmen..be good always
πππht 1Wangapi wamekuja umewatimua.