Umerogwa wewe sio bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]biashara zenyewe zimegoma
Nakubaliana na wewe kabisa ndugu yangu ukifanikiwa kusave 65% ya mshahara wako within 3 years unaweza kuwa sehemu nzuri ila sasa tukija kwenye uhalisia kwa maisha yetu asilimia kubwa ya watu wanakuwa wanakuwa tegemezi kwenye familia zao yani unashanga tu ukiukamata tu mshahara basi umeishia either kwenye kulipia madeni, ada ya mtoto au ndugu unaemsomesha, ujakaa vizuri kodi ujakaa vizuri tena unakutana na jambo lingine tena n.k ndio maana watu wanasema mshahara huwa hautoshi sasa jiulize maisha yanaendaje kama mshahara hautoshi? Mkuu ajira sio ya kutegemea kuendesha maisha tafuta kitu cha ziada cha kukuingizia pesa maana usipofanya hivyo sasa wahenga huwa nawasikia wanasema "FAINALI UZEENI".Ukiweza kusave 65% ya mshahara wako kwa mwezi, basi kwa miaka mitatu au minne unaweza kuwa kwenye sehemu nzuri tu kimaisha...
Usave 65% ya mshahara kwa maisha gani? Acheni utani nyieNakubaliana na wewe kabisa ndugu yangu ukifanikiwa kusave 65% ya mshahara wako within 3 years unaweza kuwa sehemu nzuri ila sasa tukija kwenye uhalisia kwa maisha yetu asilimia kubwa ya watu wanakuwa wanakuwa tegemezi kwenye familia zao yani unashanga tu ukiukamata tu mshahara basi umeishia either kwenye kulipia madeni, ada ya mtoto au ndugu unaemsomesha, ujakaa vizuri kodi ujakaa vizuri tena unakutana na jambo lingine tena n.k ndio maana watu wanasema mshahara huwa hautoshi sasa jiulize maisha yanaendaje kama mshahara hautoshi? Mkuu ajira sio ya kutegemea kuendesha maisha tafuta kitu cha ziada cha kukuingizia pesa maana usipofanya hivyo sasa wahenga huwa nawasikia wanasema "FAINALI UZEENI".
Hongera sasa tunafahamu kwamba una biashara.Habari waungwana, kwangu naona kama haiwezekeni kutegemea mshahara pekee wakunifanya nijikwamue kimaisha, hivyo imenilazimu niingie kwenye biashara kwa haraka sana.
Sikuona kama nitapiga hatua zaidi kwa kutegemea mshahara pekee, na ukiwa namajukumu makubwa ya wanaokutegemea.
By
Dimaa.
Umenichekesha mkuu ushaur wako huu mmmhmkuu niku bet tu hakuna namna
Ndio nilikuwa namwambia jamaa hapo ni ngumu sana watu WACHACHE SANA ndio wanaweza hivyo ila kwa wengine ni impossible.Usave 65% ya mshahara kwa maisha gani? Acheni utani nyie
Maskini stella, mweeeh.Hongera sasa tunafahamu kwamba una biashara.
umefanikiwa kwa namna gani?Mimi binafsi kipato changu kwa mwezi hakizidi laki 7 lakini kwa sasa namiliki nyumba ya kisasa na mwisho wa mwaka huu naagiza gari kwa ajili ya usafirishaji..kila kitu ni mipango na malengo...jitathimin na jielewe kidogo kina maana kuliko kikubwa
Habari waungwana, kwangu naona kama haiwezekeni kutegemea mshahara pekee wakunifanya nijikwamue kimaisha, hivyo imenilazimu niingie kwenye biashara kwa haraka sana.
Sikuona kama nitapiga hatua zaidi kwa kutegemea mshahara pekee, na ukiwa namajukumu makubwa ya wanaokutegemea.
By
Dimaa.
sijakuelewa mkuu loading.........Ukiwa kwenye uhalisia yaani umeajiriwa na una wanaokutegemea pokea laki tisa yako kwamwezi kisha wapeleke shule , matibabu, chakula , mavazi n.k mwenyewe utakuwa mwalimu wako mwenyewe kuwa inahitajika kujiongeza ,
Mkuu, inafikia hatua umepokea ka laki tisa, ukikaa tu kupiga mahesabu kote kameisha, na bado mahitaji ni mengi, watoto waende shule nzuri, sijui ujenge, ulee wazazi wako, navmengine mengi, hivi laki tisa itaonekana hapo?sijakuelewa mkuu loading.........
mhii si kweli, hawa ni majambawaziJIBU ndio. Uthibitisho, rejea watumishi wa umma kama Mtemi Endrew chenge, Nazir karamagi, Edward Lowassa, engineer Fredrick Sumaye, Dr kafumu, AG Wereme, AG mwanyika. Hawa wote wameishi kama watumishi wa umma na mawe waliyonayo hakuna wakuwagusa.