Hivi Warioba alihoji Taasis za Usalama pia kujua mfumo gani unarahisisha usalama wa nchi?

Hivi Warioba alihoji Taasis za Usalama pia kujua mfumo gani unarahisisha usalama wa nchi?

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Wanabody kwa wanaojua wanaweza tujuza kama Warioba lihoji pia jamaa wa ulinzi na usalama wa nch ili watujuze kama ni mfumo gani wanauona ni mzuri kwa usalama wa nchi yetu.

Nasema hivi kwa kuwa ianwezekana wakawa wamechoshwa sana na ulinzi wa nchi ktk njia za CCM ambzo hazina formula ya kimahesabu.
 
Ni kama wananchi wote walipewa fursa ya kutoa maoni yao, hata kwa njia ya mitandao!
 
Ni kama wananchi wote walipewa fursa ya kutoa maoni yao, hata kwa njia ya mitandao!
ila wanausalama wanahitaji nafasi zaidi ,ili wajieleze kwa mapana na kueleweka huku wakiepusha kulazimsiha issue.
 
Wanabody kwa wanaojua wanaweza tujuza kama Warioba lihoji pia jamaa wa ulinzi na usalama wa nch ili watujuze kama ni mfumo gani wanauona ni mzuri kwa usalama wa nchi yetu.

Nasema hivi kwa kuwa ianwezekana wakawa wamechoshwa sana na ulinzi wa nchi ktk njia za CCM ambzo hazina formula ya kimahesabu.

Tume ya katiba ilikutana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama kupata maoni yao. Na katika vitu vilivyowashangaza wajumbe wakiongozwa na mzee Butiku na Kabudi ni viwango vya juu vya elimu, upeo wa kuijua nchi na maoni mengi mbadala ya mifumo ya utawala wa Taifa na uendeshwaji wa vyombo vyao. Pia walishangaa ujasiri mkubwa wa kukosoa mifumo iliyopo.
 
nchi ni ya watanzania sioni haja ya wengine kupewa nafasi zaidi ya wengine...
 
Labda wastaafu maana hebu fikiria Director General wa TISS atoe mawazo tofauti na msimamo wa mkuu wa nchi kwenye mambo mazito kama muundo wa muungano.

Kwa mfumo wetu duni itazua ugomvi tu.
 
Back
Top Bottom