Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Kalazimishwa na wavunja kanuni,wawaza posho huku wakipiga meza ndiyooo ma ccmWarioba ni mwanasheria mzoefu hapa nchini. Si mgeni wa kanuni bungeni. Kinachonitatiza ni kitendo cha yeye kwenda kuhutubia bunge ilhali akifahamu wazi kuwa kanuni zinamhitaji rais aanze na Warioba amalizie. Hapa watanzania naona kama Warioba ana lake jambo.
Kalazimishwa na wavunja kanuni,wawaza posho huku wakipiga meza ndiyooo ma ccm
huyu mzee anatakaa thamani yake ishuke machoni mwa Watanzania wanaomthamini na kumwamini.
Alikataa kuendelea kuhutubia baada ya Sitta kumwambia aendelee tu, na badala yake akaenda kukaa. Ametoa picha ya kwamba ni kweli hakupenda kuhutubia kabla ya Rais, na kwamba anaungana na wanaopinga Sitta kuvunja kanuni
Warioba ni mwanasheria mzoefu hapa nchini. Si mgeni wa kanuni bungeni. Kinachonitatiza ni kitendo cha yeye kwenda kuhutubia bunge ilhali akifahamu wazi kuwa kanuni zinamhitaji rais aanze na Warioba amalizie. Hapa watanzania naona kama Warioba ana lake jambo.
Katika hili Warioba hausiki kabisa. Yeye alifuata ualiko aliopewa kwa kuwa yeye siyo mjumbe wa bunge hilo. Yeye alialikwa na Mwenyekiti awasilishe rasimu ya pili. Kimsingi haikuwa kazi ya Warioba kumdai mwenyekiti afuate kanuni kwa kuwa kanuni hizo siyo yeye aliyeziweka na kama kuna kubadili kanuni yoyote ni jukumu la wabunge hao wa bunge la katiba na Mwenyekiti wake. Kwa hiyo kilichotokea anayepaswa kulaumiwa ni yule aliyemwalika Warioba awasilishe rasimu ya katiba leo. Tungemshangaa sana kama asingetokea bungeni tayari kuwasilisha rasimu kama ambavyo alitakiwa na viongozi wa bunge hilo. Kwa kutokea na kutoendelea tumeweza kuelewa kuwa Mwenyekiti alisigina kanuni. Huo ndio ukweli. Mzee Warioba amekutana na zahama za wajumbe hao kuvutana tu kwa mujibu wa kanuni. Samwel Sita alipaswa kutafsiri kanuni kama zilivyo. Na ni kweli alionywa mapema kufuata kanuni akajifanya kichwa ngumu.
Alikataa kuendelea kuhutubia baada ya Sitta kumwambia aendelee tu, na badala yake akaenda kukaa. Ametoa picha ya kwamba ni kweli hakupenda kuhutubia kabla ya Rais, na kwamba anaungana na wanaopinga Sitta kuvunja kanuni
Katika hili Warioba hausiki kabisa. Yeye alifuata ualiko aliopewa kwa kuwa yeye siyo mjumbe wa bunge hilo. Yeye alialikwa na Mwenyekiti awasilishe rasimu ya pili. Kimsingi haikuwa kazi ya Warioba kumdai mwenyekiti afuate kanuni kwa kuwa kanuni hizo siyo yeye aliyeziweka na kama kuna kubadili kanuni yoyote ni jukumu la wabunge hao wa bunge la katiba na Mwenyekiti wake. Kwa hiyo kilichotokea anayepaswa kulaumiwa ni yule aliyemwalika Warioba awasilishe rasimu ya katiba leo. Tungemshangaa sana kama asingetokea bungeni tayari kuwasilisha rasimu kama ambavyo alitakiwa na viongozi wa bunge hilo. Kwa kutokea na kutoendelea tumeweza kuelewa kuwa Mwenyekiti alisigina kanuni. Huo ndio ukweli. Mzee Warioba amekutana na zahama za wajumbe hao kuvutana tu kwa mujibu wa kanuni. Samwel Sita alipaswa kutafsiri kanuni kama zilivyo. Na ni kweli alionywa mapema kufuata kanuni akajifanya kichwa ngumu.
Mkuu, umefafanua vema kabisa ila kuna watu sijui hufanya makusudi au ndo 'elimu' yetu ilivo kwa kweli inasikitisha mno.Katika hili Warioba hausiki kabisa. Yeye alifuata ualiko aliopewa kwa kuwa yeye siyo mjumbe wa bunge hilo. Yeye alialikwa na Mwenyekiti awasilishe rasimu ya pili. Kimsingi haikuwa kazi ya Warioba kumdai mwenyekiti afuate kanuni kwa kuwa kanuni hizo siyo yeye aliyeziweka na kama kuna kubadili kanuni yoyote ni jukumu la wabunge hao wa bunge la katiba na Mwenyekiti wake. Kwa hiyo kilichotokea anayepaswa kulaumiwa ni yule aliyemwalika Warioba awasilishe rasimu ya katiba leo. Tungemshangaa sana kama asingetokea bungeni tayari kuwasilisha rasimu kama ambavyo alitakiwa na viongozi wa bunge hilo. Kwa kutokea na kutoendelea tumeweza kuelewa kuwa Mwenyekiti alisigina kanuni. Huo ndio ukweli. Mzee Warioba amekutana na zahama za wajumbe hao kuvutana tu kwa mujibu wa kanuni. Samwel Sita alipaswa kutafsiri kanuni kama zilivyo. Na ni kweli alionywa mapema kufuata kanuni akajifanya kichwa ngumu.