Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wandugu, jamii ya watu hawa wana eneo maalumu la kuishi wametengewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaishi Popote Ila Ni Dodoma Nadhani Huko KoraEti wandugu, jamii ya watu hawa wana eneo maalumu la kuishi wametengewa?
Ila hawana reservation yao maalumu?Wanaishi Popote Ila Ni Dodoma Nadhani Huko Kora
MkuuIla hawana reservation yao maalumu?
Reservation na conservation yao ni muhimu sana kukuza tourism industryIla hawana reservation yao maalumu?
Naomba mmoja bosiWasandawe wazuri sana. Ila sio wachoyo. Sijui Dodoma na Singida kuna laana gani? Wana dental formula nzuri sana. Hapa Dodoma ninao wawili.
Hao hawana tofauti na wale Wasukuma wa kule Bonde la Ziwa Rukwa kule Sumbawanga.Wahadzabe wanaishi kwenye mapori ya akiba wale wanaruhusiwa had kuvuta bangi wala hawakamatwi maana hawatumii hospital za serekali wala shule, kwanza hawajuagi hata wako nchi gan had waambiwe wala hawajui habar za mawaziri au Marais, hawajawahi kuomba maji wala barabara na umeme hata kiswahili hawajui kabisa wala hawajawahi kuomba msaada wa chakula/mavazi, wanaenda kuvuna asali huku wanafukuza nzi kama nyuki wengne wanawatembelea kwenye mwili inasemekana wanakula aina nyingi sana za wanyama wao wanakula had nyani kwanza nyan akimuoma mu hadzabe anatoka nduki mwenyewe ni sehem ya vivutio sana wale jamaa hawana stress kabsa muda wote wana furaha hawajui internet wala hajui smartphone, hawana nyumba za kifahari wala magari ila wako na furaha tu.
Ni vizuri sana hili. Wanatakiwa kutengewa eneo mtu yeyote asiingie. Hawa kabla ya wabantu kuja walijaa Nchi zote hadi Afrika Kusini. Tumewapukutisha vibaya mno. Wamebaki Tanzania na kidogo South, Namibia na Botswana.Reservation na conservation yao ni muhimu sana kukuza tourism industry
Au wa misitu ya Chunya/Tabora.Hao hawana tofauti na wale Wasukuma wa kule Bonde la Ziwa Rukwa kule Sumbawanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikusahihishe hapo kwenye hospital huwa wanaenda ,shule nliyosoma singida ipo karibu na makazi ya wahadzabe na nlishawahi kuongozana na mmoja wa akina mama na mtoto wake wakienda kwenye health center ambapo na mim nlikua nnaelekea huko huko.Wahadzabe wanaishi kwenye mapori ya akiba wale wanaruhusiwa had kuvuta bangi wala hawakamatwi maana hawatumii hospital za serekali wala shule, kwanza hawajuagi hata wako nchi gan had waambiwe wala hawajui habar za mawaziri au Marais, hawajawahi kuomba maji wala barabara na umeme hata kiswahili hawajui kabisa wala hawajawahi kuomba msaada wa chakula/mavazi, wanaenda kuvuna asali huku wanafukuza nyuki kama nzi wengne wanawatembelea kwenye mwili inasemekana wanakula aina nyingi sana za wanyama wao wanakula had nyani kwanza nyan akimuoma mu hadzabe anatoka nduki mwenyewe ni sehem ya vivutio sana wale jamaa hawana stress kabsa muda wote wana furaha hawajui internet wala hajui smartphone, hawana nyumba za kifahari wala magari ila wako na furaha tu.
Dah, hii imekaa njema sana.