Unaenda Jida halafu ukirudi unawakatikia video queensKuna Cku Kiba Alipost Yuko Jida Ila Cjui Wanaendaga Kufanya Nin Hv Mtu Kama Shishi Akienda Jida Anaenda Kuckiliza Ili Abadilike Au Anaenda Kumwomba Mungu Ampe Maujuz Zaid Jukwaani Hata Wanaoenda Church Cjui Tu Huwa Wanafikiliaje Na Huku Anajua Kwamba Baadae Anapanda Stejini Kushika Viuno Vya Akina Delila ,,,, OK SIO MBAYA MAANA YESU ALIKUJA KWA WENYE DHAMBI(nikiwemo mimi na wao kama wana dhambi) NA C KWA WATAKATIFU
Wasaniii wengi hasa wa nyimbo za kikiristo huenda kanisani wakilipwa kuimba wako wachache hukaa hadi mwisho wa ibada wengine wakiimba kawimbo kao koko kamoja wanasepaNauliza tuu kwa sababu naona kama wenzetu wapo tofauti sana au na huko ibadani nako wanaenda kisanii tu!
We Nawe Soma Thread Uelewe Ni Wasanii Gan WanazungumziwaWasaniii wengi hasa wa nyimbo za kikiristo huenda kanisani wakilipwa kuimba wako wachache hukaa hadi mwisho wa ibada wengine wakiimba kawimbo kao koko kamoja wanasepa
Niliyoandika nimeandika sibadili hata nukta.We Nawe Soma Thread Uelewe Ni Wasanii Gan Wanazungumziwa
Mwanaadamu yeyote mwenye God Fear hu anatii maamrisho ya Muumba ..haijalishi kazi yake au time yake!! ibada ni chakula cha roho na sifa ya Amani....Huwa wanaenda lakini nadhani in kipindi ambacho kuna sikukuu kubwa mfano, maulid, eid Mubarak, Christmas day, boxing day, pasaka, n.k
Sidhani kama siku za kawaida huwa wanahudhuria kwenye nyumba za ibada.
N.B
Sina hakika ila nahisi hivyo, maana kwenda ibadani sio lazima media zikutangaze uonekane kuwa una hudhuria ibada.
Jida ndio nini mkuu?Kuna Cku Kiba Alipost Yuko Jida Ila Cjui Wanaendaga Kufanya Nin Hv Mtu Kama Shishi Akienda Jida Anaenda Kuckiliza Ili Abadilike Au Anaenda Kumwomba Mungu Ampe Maujuz Zaid Jukwaani Hata Wanaoenda Church Cjui Tu Huwa Wanafikiliaje Na Huku Anajua Kwamba Baadae Anapanda Stejini Kushika Viuno Vya Akina Delila ,,,, OK SIO MBAYA MAANA YESU ALIKUJA KWA WENYE DHAMBI(nikiwemo mimi na wao kama wana dhambi) NA C KWA WATAKATIFU
Una frustration kama unayempiganiaNiliyoandika nimeandika sibadili hata nukta.
[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]Mwanaadamu yeyote mwenye God Fear hu anatii maamrisho ya Muumba ..haijalishi kazi yake au time yake!! ibada ni chakula cha roho na sifa ya Amani....
Mie ni "khamsa Swalawat"..... Nomba uwaulize maswahiba zako Nini maana yake???? halafu ndo ujibu... jee ikuombee?[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]
Acha uongo wewe. We mbona huendi ibadani....
MsikitiniJida ndio nini mkuu?
Jida ndio nini mkuu?