Umeniwahi swali nililotaka kuuliza.Maua Sama ni wazamani?
Maua Sama sio msanii wa zamaniNimeona wanaoenda mikoani ni wanaume tu ila wanawake kama Jide, RC, Ruby, Maua Sama, Zuhura mrisho wote siwaoni. Au mfumo dume?
Sikilizeni hizi hapa
View: https://open.spotify.com/track/5OZFKa8fuMNnyHwBnJIHAO?si=MBE-c6prR1WyKwXG3Z861Q&utm_source=copy-link
View: https://open.spotify.com/track/3ZrMN9FutZDLJHyMbWEzjj?si=3HqvlkRaSP6c4cwt3--CkA%0A
View: https://open.spotify.com/track/27zKIoo60zjXdmxq7luXv8?si=5iYbMgAvSI2GCriFq30XQA&utm_source=copy-link
Vitoto vya afu 2 utavijua tu.Ndio
Maua Sama ni wa zamani zipi, au wasanii wa zamani huwajuiNdio
Hawa madogo inaonekana wamepagawa..Kwenye heading umeuliza, "hawapo?" Halafu umewataja tena huku chini sasa ndo nini?
Kweli angalau binti machozi na my ugonjwa Rah PWa zamani hapo ni Mwasiti,JD,na Raha P
Msimsahau Enika - Baridi km hiiKwahiyo kijana wakati iokote inatoka ilikuwa zamani
Aisee amka uwahi namba za shule
Nina wasiwasi huenda vinyeo vyao wanagawa,Hawa madogo inaonekana wamepagawa..
Wanaweza hata ulizia bangi kwenye duka la Madawa..
Kama angekuwa mboga basi angechotwa na upawa..
Sio mbosso lakini anaishiwa ishiwa pawa..
Hata nikiwa Adam hawawezi kuwa Hawa,,Nina wasiwasi huenda vinyeo vyao wanagawa,
maana wanapapaswa makebo wao wanaona tu sawa,
Huwa nakasirika sana nikisika kijana analiwa,
Mi naona kuliko mwanume kuliwa ni bora kuuawa.
Yes Stara ThomasDataz, Sister P, Pauline Zongo, Enika, Unique Sisters, Zay B, Da Joh, Maunda Zoro, Vumilia, Mwasiti, Chiku K. etc
Hivi hao unique sisters wako wapi siku hizi? Niliwahi sikia mmoja yupo MarekaniDataz, Sister P, Pauline Zongo, Enika, Unique Sisters, Zay B, Da Joh, Maunda Zoro, Vumilia, Mwasiti, Chiku K. etc