Hivi Wasemaji wa Serikali wana majukumu gani maana Wizara zote zinasemewa na Mawaziri kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii

Hivi Wasemaji wa Serikali wana majukumu gani maana Wizara zote zinasemewa na Mawaziri kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii

Leo Rais Samia anakutana na Wasemaji wa serikali kutoka maeneo mbalimbali

Naomba kuelimishwa majukumu ya Hawa Wasemaji

Pili mniambie kuna tofauti gani Kati ya Hawa wasemaji na Lucas? 😄

Jumatatu njema!
Kwa kinyakyusa tunaita publicity secretary, sifa mojawapo anatakiwa awe mwanasheria
 
Pamoja na yote, Rais apunguziwe madaraka hasa ya uteuzi. Hii katiba ambayo ni mzee wa miaka 47 haitufai hata kidogo. Hivi kwa katiba iliyopo outdated kiasi hiki ambayo inamfanya rais mungu mtu mnadhani kweli nchi itakuwa na maendeleo?
 
Back
Top Bottom