johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama vyeo wanapewa makada wasio na weledi,unategemea nini hapo?Pure mislocations!Hakuna na hawajui kukasimisha madaraka.Mawaziri huwa wana vimbele mbele wanashindwa kugawa majukumu ya kazi!
Kwa kinyakyusa tunaita publicity secretary, sifa mojawapo anatakiwa awe mwanasheriaLeo Rais Samia anakutana na Wasemaji wa serikali kutoka maeneo mbalimbali
Naomba kuelimishwa majukumu ya Hawa Wasemaji
Pili mniambie kuna tofauti gani Kati ya Hawa wasemaji na Lucas? π
Jumatatu njema!
Mimi najinunulia mwenyewe na siyo kununuliwa na mtu.Luca mwenyewe hata bando wana mnunulia la jero tu πππ Cc ephen_
Kazi yao kubwa ni kuvizia vikao wapige poshoLeo Rais Samia anakutana na Wasemaji wa serikali kutoka maeneo mbalimbali
Naomba kuelimishwa majukumu ya Hawa Wasemaji
Pili mniambie kuna tofauti gani Kati ya Hawa wasemaji na Lucas? π
Jumatatu njema!
Mfumo mbovu sn tunaoKila mmoja anataka aonekane hayupo nyumanyuma na ni mchapakazi hodari.Kutetea kibarua ili wasirudishwe jalalani.
NB;Lucas ana hallucinations/wenge mdebwedo.Anatoa taarifa zote za nchi kama waziri asiye na wizara maalumu/"kingunge".
Wahuni tu wanajua sana mbona hawachukui mafagio wakafagia ofisi au wakakaa getini kama walinzi!Kama vyeo wanapewa makada wasio na weledi,unategemea nini hapo?Pure mislocations!Hakuna na hawajui kukasimisha madaraka.
Waelekezwe/wafundishwe kuishi kwa kupeana nafasi kulingana na majukumu.Mfumo mbovu sn tunao
Duh!Basi tuna wauza sura hatari sana.Wahuni tu wanajua sana mbona hawachukui mafagio wakafagia ofisi au wakakaa getini kama walinzi!
Shida ni mfumo wa hovyo uliopoWaelekezwe/wafundishwe kuishi kwa kupeana nafasi kulingana na majukumu.
Na ukiangalia ni wale political oriented/walioibukia siasani zaidi.Viherehere kama gunia saba hivi.Huwa wanaibuka na mifumo yao waitakayo vichwani tu bila kufuata miongozo,taratibu na sheria/going by the book!Shida ni mfumo wa hovyo uliopo
Watu wapo busy na kuiba mali za umma, wametengeneza mfumo wao wa wiziNa ukiangalia ni wale political oriented/walioibukia siasani zaidi.Viherehere kama gunia saba hivi.Huwa wanaibuka na mifumo yao waitakayo vichwani tu bila kufuata miongozo,taratibu na sheria/going by the book!