Hivi Wastara mbona anapenda sana misaada na akipatiwa humuoni tena?

Hivi Wastara mbona anapenda sana misaada na akipatiwa humuoni tena?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hawa wasanii sijui wakoje kila siku nikuomba misaada, kama huyu.

Screenshot 2024-07-22 114327.png
 
Labda kweli Ana shida
Hakuna mtu anafurahia kuomba cha mtu..
Kama Rais Samia atamsaidia itakuwa jambo jema
Amesaidiwa sana, hebu wasaidiwe wahitaji wengine...kwanza huyo anajiweza angalau kuliko mababu na mabibi wanaoishi maisha ya taabu wakiombaomba mitaani. Huyo ni tapeli tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Wasanii tanzania sjui hao waimba amapiano na bongo movie ni watu wa kuomba omba...
Wao wanajiona kama wao ndiyo
Special sana na shida zao
Nchi sahv inaonekana changamoto za matatizo namba moja ni za wasaniii tuuu

Ova
 
Back
Top Bottom