Hivi Wastara wa Sajuki alishiaaga wapi?

Hivi Wastara wa Sajuki alishiaaga wapi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Walikuwaga power couple bongo movie enzi hizo.

Nakumbuka mamaa alivyokuwaga anapambana kumtibu mumeo sajuki kwa muda mrefu haki kifo chake.

Wastara pia alipataga ajali ambayo ilipelekea yeye kukatwa miguu.

Aisee kama ni majanga aliyapitia aiseeh.
Screenshot_20250124-111605.png
 
Walikuwaga power couple bongo movie enzi hizo.

Nakumbuka mamaa alivyokuwaga anapambana kumtibu mumeo sajuki kwa muda mrefu haki kifo chake.

Wastara pia alipataga ajali ambayo ilipelekea yeye kukatwa miguu.

Aisee kama ni majanga aliyapitia aiseeh.
View attachment 3212299
Umeanza kumiliki smartphone lini?

Huyo ameshaolewa na kuachika mara nyingi ,na ameshatapeli wengi sana kwa kisingizio cha ulemavu.
 
Back
Top Bottom