Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Sasa hivi nasikia kuna treni express, mara mwendokasi, asubuhi saa kumi alfajiri tayari foleni, huwa mnaenda wapi na kwanini hata mnawahi mnakokwenda?
Tanzania hakuna productivity yoyote, hakuna promotion kwamba hard worker atakuwa rewarded na kuwa promoted, sasa hizi mwendokasi, sijui express za nini?
Mnataka kuwahi ili iweje in reality hakuna mahali mnaenda (career wise) sasa mnaamka alfajiri ili iweje?