Mada ya wana Dar es salaam hiyo.Sasa hivi nasikia kuna treni express, mara mwendokasi, asubuhi saa kumi alfajiri tayari foleni, huwa mnaenda wapi na kwa nini hata mnawahi mnakokwenda?
Tanzagiza hakuna productivity yoyote, hakuna promotion kwamba hard worker atakuwa rewarded na kuwa promoted, sasa hizi mwendokasi, sijui express za nini? Mnataka kuwahi ili iweje in reality hakuna mahali mnaenda sasa mnaamka alfajiri ili iweje?
Subiri ukue kue kidogo, ukipata majukumu akili itachangamka.Sasa hivi nasikia kuna treni express, mara mwendokasi, asubuhi saa kumi alfajiri tayari foleni, huwa mnaenda wapi na kwa nini hata mnawahi mnakokwenda...
LOOoooh, Jamani, 'Kijakazi', sijui ni kitu gani kilicho kuingia akilini hadi ukaona uitunge mada kama hii.Sasa hivi nasikia kuna treni express, mara mwendokasi, asubuhi saa kumi alfajiri tayari foleni, huwa mnaenda wapi na kwanini hata mnawahi mnakokwenda?
Tanzania hakuna productivity yoyote, hakuna promotion kwamba hard worker atakuwa rewarded na kuwa promoted, sasa hizi mwendokasi, sijui express za nini?
Mnataka kuwahi ili iweje in reality hakuna mahali mnaenda (career wise) sasa mnaamka alfajiri ili iweje?
Na ukitaka kujua wabongo wengi ni wazururaji,rejea kipindi kile jiwe alitoa amri watu wote wasiiokua na kazi maalumu mjini dar wakamatwe wapelekwe kulima kwa nguvu huku kwenye mashamba ya serikali,mji ulipoa na watu wakapungua sana maeneo kama posta na kariakoo.Wengi wao ni wazururaji tu.Wanaenda na kurudi bila tija yoyote.
Duuu kwani hujui kwamba biashara ni asubuhi, waache wawahi wewe kama huna mpangilio wa muda shauri yakoSasa hivi nasikia kuna treni express, mara mwendokasi, asubuhi saa kumi alfajiri tayari foleni, huwa mnaenda wapi na kwanini hata mnawahi mnakokwenda?
Tanzania hakuna productivity yoyote, hakuna promotion kwamba hard worker atakuwa rewarded na kuwa promoted, sasa hizi mwendokasi, sijui express za nini?
Mnataka kuwahi ili iweje in reality hakuna mahali mnaenda (career wise) sasa mnaamka alfajiri ili iweje?
Jibu tosha hiliMaisha ya waTz walio wengi ni ya ndege pori.
Asiporuka kwenda kutafuta chakula wasukuma wanaita 'kusoja', ama hata kama anaumwa hakuna wa kumtafutia, aweza kufa na njaa.
Maisha yetu tulio wengi bila ya kudamka kuiwahi ndoto yako ya kupata, basi waweza kukosa ridhiki ya kulisha familia kiukweli.
Hao unaowaona wanabanana kwenye miendo kasi wengi wao si watumishi wa kusema ni wafanyakazi za Serikali ama sekta binafsi, wengi ni wasaka tonge la kulisha familia zao kila siku ndiyo maana wakaitwa 'walala hoi', kwa nini wasidamke kwa kukurupuka?
You have provided a simple and yet brilliant explanation.Kwa Tanzania, production dividend is directly proportional to time and inversely proportional to the square of quality.
t is the most important factor of the equation.
Ukifanya kazi 12 hours a day ukaokota maembe laki 4, yumkini elfu zitakuwa nzima.
Time doesn't pay equally much in African employment system. We compensate the deficit by overworking and re-working.
Sijui unanielewa???