Hivi Watanzania kuna mchezo wowote mnaumudu, soka ya wanawake na wanaume tumewafunika zote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Leo Kilimanjaro stars wamepokea kichapo cha Wakenya kwenye mchuano wa CECAFA, juzi hapa wanawake wa Tanzania waligaragazwa na wanawake wa Kenya. Najiuliza hapa mchezo upi ambao Tanzania inafahamia kumudu kando na vigodoro kule uswazi.
 
Mbona huzungumzii Tanzania kuwafunga kenya na kufanikiwa kufuzu CHAN mwaka huu,
Mbona huzungumzii Tanzania kuifunga kenya mwaka huu pale Uganda na tukabeba kombe 😂😂😂
Najua ni sindano la dili la SGR lililosainiwa jana ndio limekupapasa 😂😂😂
 
Inahuzunisha sana, ila kinachowaponza ni uchawi mwingi...
Issue sio kutokujua sport,shida kubwa ya Watanzania ni Wakenya....Mkenya haamini kama kutatoke siku Mtanzania amushinde kwa chochote
 
Leo Kilimanjaro stars wamepokea kichapo cha Wakenya kwenye mchuano wa CECAFA, juzi hapa wanawake wa Tanzania waligaragazwa na wanawake wa Kenya. Najiuliza hapa mchezo upi ambao Tanzania inafahamia kumudu kando na vigodoro kule uswazi.
Trolling aside .... TZ is just not a sporting nation. They only play football na hata hii football wako wako tu....as is clear for everyone to see
 
Mbona juz ukufungua uzi na mchez ulifanyika ndani kwenu watoto wakawagonga nusufainali wakawatupa wakawagonga Zambia final wakabeba ndoo tayar TZ tuna ndoo 2 sasa cjui ninyi muna ngapi
Leo Kilimanjaro stars wamepokea kichapo cha Wakenya kwenye mchuano wa CECAFA, juzi hapa wanawake wa Tanzania waligaragazwa na wanawake wa Kenya. Najiuliza hapa mchezo upi ambao Tanzania inafahamia kumudu kando na vigodoro kule uswazi.
 
Tunamudu kuwagegeda dd na mdm zenu tu
Leta swali lingine!

Ova
 
Tunamudu kuwagegeda dd na mdm zenu tu
Leta swali lingine!

Ova
Ivi kwa nn uyu mk 254 hakuwepo kwenye basi walilo fanya yao alshabab.wamepotea watu wa maana vilaza wamebaki[emoji1][emoji1]
 
Labda ulozi
Leo Kilimanjaro stars wamepokea kichapo cha Wakenya kwenye mchuano wa CECAFA, juzi hapa wanawake wa Tanzania waligaragazwa na wanawake wa Kenya. Najiuliza hapa mchezo upi ambao Tanzania inafahamia kumudu kando na vigodoro kule uswazi.
 
Issue sio kutokujua sport,shida kubwa ya Watanzania ni Wakenya....Mkenya haamini kama kutatoke siku Mtanzania amushinde kwa chochote
Ni haamini tu pamoja na kwamba tumekuwa tukiwashinda katika maeneo mengi
 
hahaa aisee hongera sana vijana wetu wa harambee...uswahilini ni kiliooo mazee, hii timu ya mkuu wa mkoa sijui ni vipii😂
 
Mbona juz ukufungua uzi na mchez ulifanyika ndani kwenu watoto wakawagonga nusufainali wakawatupa wakawagonga Zambia final wakabeba ndoo tayar TZ tuna ndoo 2 sasa cjui ninyi muna ngapi

Kawaida mkisahau kubeba uchawi huwa tunawafunga, hapo utakuta mlikuja na mauchawi yenu na mazagazaga yenu yote, sijui kwanini uchawi wenu hufanya kazi huku Kenya lakini unashindwa kuonyesha makali yake mkiwa ugenini.
 
Mbona huzungumzii Tanzania kuwafunga kenya na kufanikiwa kufuzu CHAN mwaka huu,
Mbona huzungumzii Tanzania kuifunga kenya mwaka huu pale Uganda na tukabeba kombe 😂😂😂
Najua ni sindano la dili la SGR lililosainiwa jana ndio limekupapasa 😂😂😂
Mbona hukufungua Uzi Kama huu kutujulisha Tz imagaragazwa Kama ilivyo desturi ya Kenya kuichapa Tz. Wacha majungu bro kubali kuchengwa na utulie.
 
Wewe mbona huwa mkifungwa au tukiwafunga hufungui uzi.
 
Back
Top Bottom