Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Serikali imeamua kuazima.masikio ya kenge.Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya.
Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya Katiba mpya?
Hivi hakuna namna nyingine ambayo Serikali inaweza kufanya katika kuharakisha upatikanaji wa Katiba mpya?
Imeandikwa na Mwanakijiji.
View attachment 2735203
Saa ya UKOMBOZI ikifika, Mungu huifanya mioyo ya Watawala kuwa migumu na kuwafanya wawe na kiburi Cha kuringia nguvu ya majeshi. Farao/Firauni aliwekewa kiburi moyoni na kupuuza kila aliloambiwa na Nabii Mussa kuwaachia Wana Israel na kukaribisha anguko. Hawa CCM, waendelee tu na kiburi Cha kuringia nguvu ya majeshi,anguko linakuja.Saa ya UKOMBOZI imeletwa na DP World.Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya.
Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya Katiba mpya?
Hivi hakuna namna nyingine ambayo Serikali inaweza kufanya katika kuharakisha upatikanaji wa Katiba mpya?
Imeandikwa na Mwanakijiji.
View attachment 2735203
aiseee !! hii nchi inachezewa sana.Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya.