Hivi watu kutanguliza Uislam au Ukristo kwenye mambo nyeti kuliko Utaifa maana yake nini?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika wakristo wangenyamazia. Hivi ni kweli dini inaleta uzuzu, upofu, ufala, ubazazi kiasi hiki?

Nasikitika sana hivi ni kweli udini hauna logic seriously?

Sioni hao binamu zao na hao DP world wakitumia vifungu kutetea vifungu zaidi ya kumeza la uarabu na uislam.

Ni hatari sana imefika hatua Tanganyika sio chochote mbele ya Uislam kweli?

Karma is real and her other name is a bitch.

Wadiz

Wabillah Tawfiq
 
CCM wakizidiwa akili wanapenda kujificha kwenye mambo ya kipuuzi. Kumbuka CUF walivyokuwa kwenye fire akina Mahita wakajjificha kwenye udini na kukihusisha na Uislamu. CHADEMA wakalambishwa ukabila. Ili la bandari wendawazimu CCM wameibukia kwenye udini.
 
Wakristo tunapinga DPW kwasababu waarabu wakija tutakosa misaada ya kikristo, na pia tunachuki na raisi ambaye ni muislamu!
Waislamu ndio wahanga wakubwa wa Waarabu kupitia umaskini waliouleta kupitia mwambao wa Tanzania. Madrasa na utumwa ndio vitu pekee walivyoleta waarabu na bado waislamu wa Tanzania wanawahusudu waarabu hao!
 
Waefeso 4:31-32
Basi, achaneni na uhasama, chuki, hasira, kelele na matusi. Acheni kila uovu! Muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye Mungu alivyowasamehe nyinyi kwa njia ya Kristo.
 
Waislamu ndio wahanga wakubwa wa Waarabu kupitia umaskini waliouleta kupitia mwambao wa Tanzania. Madrasa na utumwa ndio vitu pekee walivyoleta waarabu na bado waislamu wa Tanzania wanawahusudu waarabu hao!
Mfano hai, angalia Zanzibar na sehemu walizoishi waraabu kama Pwani na Lindi pamoja na mtwara
 
Hii nchi Ina watu wajinga Sana.
Ukiukosoa mkataba ovu wa DP W uliosainiwa na wazanzibari kuiumiza Tanganyika, wajinga wanasema unaleta udini. Jamani?, Katika ule mkataba wapi Quran au Biblia imetajwa?
Wengine wanasema unataka kuvunja muungano, Sasa yupi anayeharibu muungano, mzanzibari aliyesaini kuiumiza Tanganyika au anayekosoa uovu wa kuitia Tanganyika mikononi mwa wakoloni?
 
Wasalaam JF,

Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika wakristo wangenyamazia. Hivi ni kweli dini inaleta uzuzu, upofu, ufala, ubazazi kiasi hiki?

Nasikitika sana hivi ni kweli udini hauna logic seriously?

Sioni hao binamu zao na hao DP world wakitumia vifungu kutetea vifungu zaidi ya kumeza la uarabu na uislam.

Ni hatari sana imefika hatua Tanganyika sio chochote mbele ya Uislam kweli?

Karma is real and her other name is a bitch.

Wadiz

Wabillah Tawfiq
Ni utaahira na utumwa kiakili, kimaadili na kijamii
 
Back
Top Bottom