Profession/career inayoongoza kwa malipo ni Politics
Politics- Mbunge ni most highest paid jimboni kuliko hata Ofisa kilimo wa mkoa engineer wa mkoa , Mganga Mkuu wa mkoa ,Afisa nyuki wa mkoa au Afisa Elimu wa mkoa Afisa Mifugo Au Afisa madini , Afisa Ustawi wa jamii. Hakuna logic but ndio hivyo
Usishange hakuna cheo cha ICT officer kwenye lever ya mkoa au wilaya.
Nadhani ukiangalia kwa waliotutanguli mambo ni tofauti . Thats why mambo yetu mengi yanakwenda mrama.