MR MONEY08
Member
- Oct 21, 2022
- 62
- 30
Habari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona wangapi ulipowauliza walikujibu niniHabari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
Lugha chafu ni sehemu ya uhuru wa kujieleza tu, haina tatizo.Habari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
kuna shetani ndani yake. Yesu alisema juu ya watu hawa kwamba, kila mtu huwa anaongea kile kilichoujaza moyo wake, na kwamba huwezi kuvuna zabibu kwenye mchongoma. yaani kama moyo wako ni mchafu, utatoa machafu tu hata ujizuie vipi. na kama moyo wako msafi, utatoa mambo masafi.Habari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
HaaaaaLugha chafu ni sehemu ya uhuru wa kujieleza tu, haina tatizo.
Tatizo ukiitumia vibaya tu.
Wee , siyo mwalimu wa General studies , advance, shule Fulani hivi , hapa mjini?Nadhani ni malezi mabovu tuu toka kwa jamii aliyokulia.
Mfano 1: Kuna mtu akiongea mazungumzo ya kawaida kabisa hawezi ongea sentensi mbili bila kutamka tusi la nguoni. Na hapo haijalishi anaongea na nani. Nakumbuka hata tulikua na mwalimu wetu mmoja sekondari nae alikua anatumia sana maneno ms*nge, k*manina, nk wakati anafundisha!
Mfano 2: Mimi nyumbani kwetu sikuwahi kumsikia baba, mama, kaka, dada, au mtu yoyote akitukana matusi ya nguoni. Mpaka leo mimi ni mtu mzima lakini siwezi kabisa kutamka tusi lolote lile hadharani.