Hivi Watu wasiokunywa pombe huwa wana akili timamu kweli?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu,

Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu.

Wana maongezi ya kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone...

Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya.

Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu.

Watu wanaobaka na kurawiti watoto Madrasa, asilimia 98 hawanywi pombe wala kuonja.

Wachungaji kutembea na Waumimini, nk.

Yaani mimi siwezi kukaa na mtu ambaye hanywi Pombe masaa mawili. Ataongea nini?

Kama Mwanaume ana story za vyupi tu na kama mwanamke ana Story za Mikao ya faragha..

Je, Una rafiki ambaye hanywi pombe wala kuvuta bangi? Unaonaje story zake?
 
Ni vizuri endelea kunywa
 
Maana halisi ya spirit ni watu na mioyo yao

Hakuna mpiga Gambe mwenye roho mbaya narudia Hakuna

Niko nasindikiza hisia na Said komorie ft hardmard 'miss Malaika'

'"Ningelikuwa na mabawa, kaa angani nikufate lakini Sina mabawa.!?👌😎
 

Aisee, tuombe radhi mkuu, au mwenzetu unamiliki bar, unaona uchungu hupati hela zetu?

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…