cdf hawezi ku-command kmkm na jku kwasababu vyombo hivyo si sehemu ya jwtz.
..kmkm na jku wako chini ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na hawafanyi kazi nje ya mipaka ya Znz.
Kumbe kuna vijana huwa wanaletwa kutoka Zanzibar ili wajiunge JKT ?Kuna vitu vinafikirisha sana.
JKT vijana wa Zanzibar hupewa kipaumbele kwenye usaili wa kujiunga JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi while kijana wa Tanganyika ni marufuku kujiunga JKU ambako kuna ajira pia.
Kumbe kuna vijana huwa wanaletwa kutoka Zanzibar ili wajiunge JKT ?
Ni vijana wa mtaani.Kwa kawaida huwa ni vijana kutoka mtaani au JKU?
Kwa kawaida huwa ni vijana kutoka mtaani au JKU?
Michele sana.Mwaka 2017 kule Congo walikufa wanajeshi 14 kati yao 9 ni wa ZnZ.
Ukiwa depo utasikia kundi maalumu kutoka Zanzibar
Kuna vitu vinafikirisha sana.
JKT vijana wa Zanzibar hupewa kipaumbele kwenye usaili wa kujiunga JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi while kijana wa Tanganyika ni marufuku kujiunga JKU ambako kuna ajira pia.
Vijana kutoka Zanzibar ni idad yao ni ndogo Sana wanakuwa Mia nne, kwaiyo nafas za ajira zikitoka 3000 wao lazma wa ajiriwe wote.JKT hupokea vijana kwa mgawanyo fulani ambapo kiasi fulani hutokea vIsiwani na kugawanywa katika makambi ya JKT....
Hawa wote hutambuana na serikali yao huwatambua kwa idadi ya kila.kambi (na msisitizo wao hua ni kuishi kama ndugu) na inapotokea ajira hawa hupewa kipaumbele isipokua baada ya JPM kuingia akafanya usawa awali hawa walikua hawarudi majumbani sharti waishe wote WABARA warudi home..... ,
(Walikua na kauli yao... turudishe tuvunje muungano)
CCP depo la polisi pia hutakiwa kuchukua vijana kadhaa kutoka JKU.... kama watachukua JKT basi jku pia watapata nafasi chache mfano ni depo la 2019.
Je unajua kipindi cha MWINYI Alikua na utaratibu wa kukutana nao kabla ya kuja makambini huku bara? NDIO na walikua na namba zake na waliongea nae kwa uwazi kabisa... Sasa wewe KAMANDA zingua
nawasilisha.
Unaendaga kunyanduliwa huko wete??Dooh nimemiss urojo wa pale chake nikiwa safarini wete.