Swali hilo hapo jamani naombeni majibu.
Mbona tunafanya kama kawaida?
Kama vipi hebu nitumie gelofrendi wako uliyemchoka afu atakuja kukusimulia.
Swali hilo hapo jamani naombeni majibu.
Kwa taarifa yako wanatoka na nje yandoa
heheeh fellow tablet banaMbona tunafanya kama kawaida?
Kama vipi hebu nitumie gelofrendi wako uliyemchoka afu atakuja kukusimulia.
mada nyingine bwana,hata kuchangia unakwazika ni kama kukaa uchi mbele ya mkweo.....:A S embarassed:
We una miaka mingapi?
:smash:heheeh fellow tablet bana