Wewe mzee kijana au sio?ngoja wazee waje...
Hizo mambo wazee wanapenda hawaezi kuchukiana hawachukii kizazi cha bush man waliokuwa wakikaa utako wazi ni unyonyo nje..! vipi kule south Africa wale wadada asili kabisa ya Africa wanavyovyaa watoto chuchu zote nje vipi hapendezwi pia...?
Wazee vijana haoWazee wenyewe wamemezwa na mafuriko ya siku hzi.
Umeongea bonge la point kula chuma iko!Mzee atakuwa na stress zake zinamsumbua. Kila generation inazaliwa na generation iliyopita kwahiyo kama generation hii haieleweki ni matunda ya malezi ya hao wazee.
kijana