Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mchezo wa give and gain.
Tuwape hela nyingi waje wazitumie ulaya
Huwezi kulinganisha mifumo ya utafutaji Hela Africa na Ulaya, Africa mifumo ya kupata Hela ni migumu mixer Hela Haina value, wakat wenzetu Ulaya wametengeneza njia nyingi za kupata Hela na Hela yao ina thaman kubwa.Nchi za wazungu pesa ina thamani sana , we angalia tu kwenye TV wale wasanii ila watu kule wanapata pesa kwa tabu ...Kule ndiyo maana kila kitu biashara , hao wacheza porno yote ili wapate pesa.
Kinachotokea ni kwamba waafrika wakienda kule , hawa viongozi wengi wanatumia sana pesa kwa ufahari (lavish) kama; kununua magari , kukaa kweny mahoteli makubwa . Huku Africa bado wanaagiza gari ambazo ni latest modeli , wengin wameficha pesa ndefu huku ...Rejea :Yule Raisi wa Gambia , jamal ana majengo nje ya nchi yale ypte ni sababu za wizi .
Wazungu wanapata pesa kwa tabu ila huku watu hwana future wanatumia tu .
Ina thamani kwa wapi? Matumizi ya kule kwao ni sawa kutokana maisha yao ...Matajiri wakuba sio watu wa anasa kama bongo.Huwezi kulinganisha mifumo ya utafutaji Hela Africa na Ulaya, Africa mifumo ya kupata Hela ni migumu mixer Hela Haina value, wakat wenzetu Ulaya wametengeneza njia nyingi za kupata Hela na Hela yao ina thaman kubwa.
Ndiyo sababu wanalazimisha kamati ya bunge ya fedha iwe chini ya upinzani, na hii ndiyo sababu serikali imekataa kutekeleza amri ya mahakama ya kuwafukuza Covid19.
Mzee kulinganisha life la Ulaya na Africa ni aibu kubwa, mfano mdogo Africa mtu kumilik gari tunaona kama mtu amejipata wakat ulaya ni vitu kama basic needs nyingine.Ina thamani kwa wapi? Matumizi ya kule kwao ni sawa kutokana maisha yao ...Matajiri wakuba sio watu wa anasa kama bongo.
Mtu ananua saa ya billion kwa pesa za kibongo ila kwao ni kawaida , wale anaishi maisha ya juu sana kwa kulinganisha na yetu ila utaishi ya juu zaid ukiwa mtu wa anasa .
Umenielewa? Kupata pesa kwao sio rahisi lazima ufanye kazi ndiyo maana watu wanabuni biashara kila siku ..Mzee kulinganisha life la Ulaya na Africa ni aibu kubwa, mfano mdogo Africa mtu kumilik gari tunaona kama mtu amejipata wakat ulaya ni vitu kama basic needs nyingine.
Imagine budget zao ndani ya nchi zinawatosheleza mpka Wana amua nyingine wawakopeshe Africa alafu ndio ujifananishe nao kweli.