Hivi WCB huwa wana mpango gani na LAVALAVA?

Kutoa hit song sio Kazi rahisi
Mond ameshindwa kutoa hit song huu mwaka wa tano sasa itakuaje Lavalava ?

Tangu itokee Maisha na MUZIKI ya Darasa hakuna Tena hit song imetokea hapa Tz.
 
Ni kweli kutoa hitsong ni kazi, ndio maana nikamuuliza mwamba hapo juu kwamba anamaanisha menejimenti isubiri Lavalava apate hitsong ndio waanze kumpromote kama wenzie?!
 
Aondoke tu usafini aende akajaribie kwengine maybe Kondegang huko,,,huwa sielewi jamaa anakwamaga wapi coz wenzake wote except for Zuchu wameshatoa album ila yeye yupo yupo tu.
 
Akitoa Album ndo watampromote? Na hiyo except Zuchu unamaanisha nini
 
Except for ( isipokuwa),,, hapo nilimaanisha wasanii wengine wote Diamond,Rayvanny na Mbosso wameshatoa album isipokuwa Zuchu na Lava Lava pekee bt Zuchu Ana umaarufa kumzidi Lava Lava
 
So tunakubaliana kwamba Album sio kigezo ausio?
 
Kutoa hit song sio Kazi rahisi
Mond ameshindwa kutoa hit song huu mwaka wa tano sasa itakuaje Lavalava ?

Tangu itokee Maisha na MUZIKI ya Darasa hakuna Tena hit song imetokea hapa Tz.
Muziki ni mega hit ila hitsong zimetoka za kutosha... Diamond ana hitsong nyingi sana, ata juzi hapa collabo zake na Mbosso & Chui ni hitsong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…