mkuu naona nia yako siyo kuelimisha bali ni kupotosha jamii kwa kuhimiza tabia chafu ambayo mwisho wake ni maangamizi ama ya magonjwa au kujiangamiza/kuangamizana (kujiua/kuua kwa wivu wa mapenzi). ukweli ni kwamba unapoamua kuingia kwenye mahusiano mapya (me/ke) lazima uwe tayari kuvua penzi la zamani ili uwe salama (mfno, unanunua kiatu kipya unakivalisha juu ya kile cha zamani- utaweza kutembea kweli??? ukiweza basi ni kwa taabu sana!) kwanini ujipe taabu sana! there is a wide ground for making choice, pekua mpaka ujiridhishe/mjiridhishe then mnatulizana! mengine hayo ni kudanganya nafsi tu!:ballchain: