Hivi Weledi wa Jeshi Polisi Tanzania uko wapi? Umoja wa Waalimu wasokua na Ajira, sio Kikundi Cha Uhalifu Wala wavunja Amani

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .

Khaaa?? This is a shame !!.

Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.

Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.

Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.

Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .

Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!

View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P
 
RPC anajaribu kumfurahisha mama. Ng'ombe kabisa
 
Kuna maaskari wengi mno wako polisi, jeshi, hata usalama ambao watoto wao au watoto wa ndugu zao hawana ajira au wadogo zao hawana ajira.

Hii movement ya watu wasio kuwa na ajira ndio maana hata ccm wanaiogopa. Maana inawaathiri hata watoto watu wa vyombo vya dola. Je kutokana na Ukosefu wa ajira wa watoto wao wakiamua kukataa kutumika kuiba kura, ccm watakuwa wa mwisho kabisa kwenye uchaguzi
 
Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .

Khaaa?? This is a shame !!.

Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.

Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.

Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.

Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .

Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!

View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P

magenge ya kihalifu yanayochipukia ni muhimu yakadhibitiwa mapema kabla hayajaota mapembe,

kwenye kilimo pekeyake,
zipo ajira za uhakika za kutosha waTanzania wote wasio na ajira.

ni muhimu vijana kuacha uvivu na kuchagua kazi 🐒
 
Jambo Moja nililonalo uhakika kabisa kabisa asilimia 100, WEWE NI KIJANA WA BUKU SAB, HUNA AJIRA WALA HUJAJIAJIRI NA NINAPEXHE ALOLOLO KWELIKWELI
 
Calm down gentleman,
ni muhimu sana kuzingatia mawaidha yangu muhimu bila mihemko,

zipo ajira za uhakika na za kuwatosha waTanzania wote kwenye kilimo, ili hatimae kuondoa unyonge wa kiuchmi, mihemko na ghadhabu mnapoambiwa ukweli 🐒
 
wakazie hapohapo wamegusa kwenye mshono mbichi.
 
Aina ya jeshi la polisi lililopo nchini, nililisoma miaka hiyo kwenye mada za Kuingia kwa Ukoloni Barani Afrika (The Introduction to Colonialism in Africa), na pia uchumi wa Kikoloni (Colonial Economy) za somo la Historia!

Ndiyo kipindi hicho Wakoloni walitumia jeshi la polisi linalofanana na hili la kwetu kwa kila kitu! Mfano matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili, uchawa, nk.
 
Sema policcm sio polisi maana wameshageuzwa kuwa tawi la ccm. Wanapelekeshwa hata na chawa wa ccm wa ngazi ya kata.
 
Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .

Khaaa?? This is a shame !!.

Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.

Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.

Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.

Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .

Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!

View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P

Wasajili jumuia yao
 
magenge ya kihalifu yanayochipukia ni muhimu yakadhibitiwa mapema kabla hayajaota mapembe,

kwenye kilimo pekeyake,
zipo ajira za uhakika za kutosha waTanzania wote wasio na ajira.

ni muhimu vijana kuacha uvivu na kuchagua kazi 🐒
Umetoa ushauri wa hovyo kabisa mwaka huu
 
Back
Top Bottom