Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25.
Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo nasifiwa kuwa mke wako au binti yako ni mzuri. Nahisi kama huenda jamaa either wanamtaka mke wangu au binti yangu. Lakini huwa siumii sana endapo akina mama wanapomsifia kijana wangu kuwa ni handsome. Wenzangu mliokuwa na mabinti mkasifiwa mnajisikiaje?
"Mke wako au binti yako Mzuri"-ambiguous statement. unaweza kuitafsri kwa njia nyingi ila uzuri wa mtu unatokana na mambo mengi labda ufafanue zaidi. naomba nami nifikie huko nisifiwe kama wewe