Hivi Wenzangu huwa mnakula vyakula Gani?

Jitahidikula pale unapokua na njaa tu,sio muda ukifika,kingine jaribu kubadilisha mpishi.
 
Reactions: Nus
Siku nyingine, mara moja-moja toka kajilipue huko mahotelini na usisahau kasungura ushushie.
 
Mkuu kichwa changu n chepesi sana nikiweka konyangi lazma mtasikia tibisii wakinitangaza kwa runinga
Oh! Kama ndo hivyo;Jitahidi kunywa juisi halisi ya kujitengenezea nyumbani mwenyewe e.g. ya ukwaju, ya parachichi, ya ubuyu n.k. alimradi tu isiwe ya kiwandani.
 
Mkuu, mbona hutaji yale matunda ambayo ni lishe na dawa papo hapo? e.g. Stafeli, Fenesi, Bamia, Pasheni n.k.
Hapo labda fenesi na pashen

Bamia nikila nahisi kutapika kwasababu ya Ile hali yake ya kuvutika kwahy nimejikuta inanishinda kbc
 
Mkuu hivyo vyakula umevitaja ulaya bei ghali sana ispokuwa viazi ulaya. Dagaa kilo tu ni laki na nusu hadi laki mbili na ni snacks za mbwa. Samaki, unga, viaz vitamu na mboga za majani bei yake imechangamka.
 
Pole sana kwa kutokula nyama
Vyakula ni hivyohivyo ila ni kuwa creative katka mapishi yako
 
Hapo labda fenesi na pashen

Bamia nikila nahisi kutapika kwasababu ya Ile hali yake ya kuvutika kwahy nimejikuta inanishinda kbc
We Jamaa; ina maana hauyajui hata yale matunda pori? Matunda ya Aina aina yapo ni mengi mno huko maporini ushindwe wewe mwenyewe. Huko mjini mmekomalia eti maembe, mananasi, machungwa na machenza ambayo hustawishwa katika mashamba tena kwa kutumia viuatilifu (dawa za kuua wadudu).
Matunda pori hayaguswi na kemikali yoyote ile e.g. Ubuyu; Ukwaju, Furu, Majumbau, Mabungobungo, n.k. ukiyala hayo unakula kitu OG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ