Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Hii tabia binafsi imenishinda kabisa hata kama niwe na shida gani.
Labda nikope
Lakini utakuta mwingine hana aibu, popote pale hata mtu ambae hamjui " mwanangu una elfu tatu karibu hapo..."
Au hata bar " mwanangu na Mimi moja basi"...
Hivi huo ujasiri mnapata wapi?
Achana na wale ombaomba wa barabarani.